Asante Lyrics
Asante Lyrics by BARNABA
Baba what more can I say?
Haimaanishi kwamba sikosei
Ila bado unanilinda
Kila kukicha pumzi hunipa
Baraka tele unanipa
You're so kindness
In the name of The Lord of the mass
If you believe in God many things will be okay
Maana Mungu anatenda kila wakati, stand up
Kuna matatizo nilishapitia aki nikachukia dunia
Mungu akanihurumia akanifanya mpya Baba
Sitetereki sihangaiki, sipapatiki mimi
Wanafanya vingi wanipige ngwara
Ili niende chini ila wapi
Mabaya anazuia (Mungu hataki)
Mikosi anapangua (Ooh ila wapi)
Mabaya anazuia (Eeh Baba hataki)
Oooh..
Kuna muda nilisaka sarafu sipati
Hadi najichukia yoo
Nilipotaka mke mwema nikawa sipati
Akanisaidia Baba
Mabaya anazuia (Mungu hataki)
Mikosi anapangua (Ooh ila wapi)
Mabaya anazuia, Oooh..
If you believe in God many things will be okay
Thankyou Lord of the mercy
Thankyou Baba Nagode
You bless me each and everyday
Maisha yangekuwa simu ningeweka bando
Nichati niwezavyo
Maisha yangekuwa nyumba ningemimina zege
Idumu iwezavyo (Aaah)
Ila yuko Mungu yaani ni mvunja vyungu
Hata waganga wanamwomba yeye
Au nikakape na marungu
Yaani niwape watu uchungu
Yaani ni wakati uko wewe Baba
Nijalie uzima, nimezingirwa kila kona
Maadui wako wengi sana
Wengine siwezi kuwaona
You are so kindness, you are my bodyguard
You are my policeman siogopi Baba
Mabaya anazuia (Mungu hataki)
Mikosi anapangua (Ooh ila wapi)
Mabaya anazuia (Eeh Baba hataki)
Oooh..
Kuna muda nilisaka riziki sipati
Hadi nakajichukia ooh
Kuna muda nilisaka mke mwema sipati
Akanisaidia Baba
Mabaya anazuia (Eeh Baba hataki)
Mikosi anapangua (Ooh ila wapi)
Mabaya anazuia (Eeh baba hataki)
Oooh..
Baba what more can I say?
Haimaanishi kwamba sikosei
Ila bado unanilinda
Kila kukicha pumzi hunipa
Baraka tele unanipa
You're so kindness
Baba what more can I say?
Haimaanishi kwamba sikosei
Ila bado unanilinda
Kila kukicha pumzi hunipa
Baraka tele unanipa
You're so kindness
Watch Video
About Asante
More lyrics from Refresh Mind album
More BARNABA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl