Siwezi Lyrics
Siwezi Lyrics by BARNABA
You for one I cheat girl
Im a chizi you coz you're are beautiful
Sipendi mambo ya kulie lie
Nishampenda sa ya nini kulie lie
Nilikotoka nilishasota
Niliko sasa msumari wa mapenzi
Ndo umegonga guess so
I spend my whole time
With you in my head
Never thought
You will be my oneday
Wowowowowowo
Be my oneday, be my oneday
Be my oneday
Nakupenda ila nataka ujue
Bila wewe mwenyewe siwezi
Oh no no
Bila wewe mwenyewe siwezi
Oh no no no no
Dunia tamu ila nataka ujue
Bila wewe mwenyewe siwezi
Oh no no
Bila wewe mwenyewe siwezi
Oh no no no no
Wanafiki wa moja wala mbili hawakai
Maswali ni mengi wamebaki why why?
Kwa maumivu tumesema bye bye
Mpaka mashetani wanaimba nai nani
Mapenzi ndo kazi na ndo maana niko busy
Hakuna ofisi kitandani piga mbizi
Hakuna kalamu na ndo maana unamenya ndizi
Sina u Marioo wala wewe sio Nyambizi
Mi ni mbili we ni mbili sio mbili bila
Kutunza na kuhonga kwa wachaga ni mila
Toka ujanani mpaka udingi dingila
Nakupa vitu flani sio mambo ya hila
I spend my whole time
With you in my head
Never thought
You gonna be my oneday
Wowowowowowo
Be my oneday, be my oneday
Be my oneday
Nakupenda ila nataka ujue
Bila wewe mwenyewe siwezi
Oh no no
Bila wewe mwenyewe siwezi
Oh no no no no
Dunia tamu ila nataka ujue
Bila wewe mwenyewe siwezi
Oh no no
Bila wewe mwenyewe siwezi
Oh no no no no
Baby najua hii si mara ya kwanza nasema hivi
Lakini safari hii ninaapa
Hii ni mara ya mwisho
Sitarudia tena
Watch Video
About Siwezi
More lyrics from Refresh Mind album
More BARNABA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl