Upofu Lyrics
Upofu Lyrics by BARNABA
Penzi upofu, darling nina mapungufu
Haoni hata harufu
Kunusa ipi nzuri ipi mbaya
Nimejikanyaga kumpenda
Kumpenda kisha akaenda
Kanijaza mavidonda mavidonda
Aii naugua, ndwele fala wee
Mwenzenu naugua, na tena mi nipotee
Aii naugua, ikibidi nisimbolee
Maumivu mapenzi
Aii naugua, ndwele fala wee
Mwenzenu naugua, na tena mi nipotee
Aii naugua, ikibidi nisimbolee
Maumivu mapenzi
Penzi chupa la chai
Umelimimina sukari hakuna
Magomeni Mwembe chai
Wanakuita mfalme wa mamama
Eti ukajikuta halua tani
Kutupishanisha uani
We baba huishi mabonge huenda
Waliingianga bonde
Mapenzi niache
Nipe muda kidogo vumbue
Moyo ukomae
Nipe muda kidogo nitimie
Wewe njiwa peleka salamu
Nenda mwambie nimefunga ukurasa
Aii naugua, ndwele fala wee
Mwenzenu naugua, na tena mi nipotee
Aii naugua, ikibidi nisimbolee
Maumivu mapenzi
Aii naugua, ndwele fala wee
Mwenzenu naugua, na tena mi nipotee
Aii naugua, ikibidi nisimbolee
Maumivu mapenzi
Naomba usinitoe kwenye pepo yako
Maana mie mnyonge mnyonge
Au umekunywa kombe mwana lisombe
Ili mradi unisahau
Aah mwanaume macho kodo
Hunaga jambo doog
Havikupiti kodooo..
Naomba usinitoe kwenye pepo yako
Maana mie mnyonge mnyonge
Au umekunywa kombe mwana lisombe
Ili mradi unisahau
Heri niwe mpofu kuliko kukukosa wewe
I go die for you
You go die for me my angel
Watch Video
About Upofu
More lyrics from Refresh Mind album
More BARNABA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl