Despacito Lyrics
Despacito Lyrics by BARNABA
Je te ve Maria despacito
Penzi letu wanaweka uzito
Nilikokutoa kwenye maporomoko
Ugali choroko mixer ukoko
Aah, muhibi waridi
Muhibi waridi we wa kunifaidi
Aah aah waridi
Wangu waridi ninukie waridi
Mtoto mashallah jicho, akiniangalia
Akitembea yake maringo, kama twiga buga
Akinigusa napata goosebumps
Natetemeka tete tete
Nikimwona narejea hohe hahe
Sijiwezi kwake sina pingamizi
Mdomo zege hohe hahe
Sijiwezi kwake sina pingamizi
Nakuwa mzembe mzembe
Yaani mzembe mzembe
Domo zege, mzembe mzembe
Ye ndo wangu sultani
Mzembe mzembe
Nakuwa mzembe mzembe
Yaani domo zege, mzembe mzembe
Aah aah aah
Despacito
---
Akiwashwa na upele mi ndo mkunaji eeh
Namuosha mpaka nywele nampa masaji eeh
Mtoto bojobojo ngozi yake laini
Anapiga mafoto jotojo
Ugali nyama maini
Mama yeyeyeee, yele baby
Shore despacito
--
--
Aah, muhibi waridi
Muhibi waridi we wa kunifaidi
Aah aah waridi
Wangu waridi ninukie waridi
Mtoto mashallah jicho, akiniangalia
Akitembea yake maringo, kama twiga buga
Akinigusa napata goosebumps
Natetemeka tete tete
Nikimwona narejea hohe hahe
Sijiwezi kwake sina pingamizi
Mdomo zege hohe hahe
Sijiwezi kwake sina pingamizi
Nakuwa mzembe mzembe
Yaani mzembe mzembe
--
--
Dawa ya ndoa ni uaminifu
Huwezi kufuta machozi kwa mikono
Wapi Juma Lokole tajiri wa wambea
Komesha Aristote
Wapi papa Mwijaku tajiri wa kitambi
Mama Irene Uwoya jiii
Yanga piga kelele watu wa Simba niskie mngurumo
Mmmmh mbetele mboko yuko na makasi
Bahati aliokota kunyavu
Rest in Peace Mutaba ..
Mwanamke hapigwi
Watch Video
About Despacito
More lyrics from Refresh Mind album
More BARNABA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl