Pasua Kichwa Lyrics
Pasua Kichwa Lyrics by BARNABA
Unaringa na mume na mumeo
Kati hakuposti (Pasua kichwa)
Unaringa na Benz wakati una ploti
(Pasua kichwa)
Unang'ang'ana na mume
Na mume hakutaki (Pasua kichwa)
Unajigamba una mke
Mke ana ving'asti (Pasua kichwa)
Aah Dar es Salaam ni kubwa
Watu wanaruka ukuta
Wenye mahaba wanalia mapenzi yamewachachia
Tunaringa tumepima
Kama penzi tumekatia bima
Ye mzizi mie shina
Penzi letu hakuna kuzizima
Baby mwambie baba
Hata huna gari nimekupa na roho
Kisha mwambie baba
Mambo ya bingu tunang'oa kipa roma
Tutiane stress (Pasua kichwa)
Kila siku kesi (Pasua kichwa)
Utanipa murder kesi wewe (Pasua kichwa)
Hapana no no no (Pasua kichwa, kichwa, kichwa)
Mara nikufumanie guesti (Pasua kichwa)
Ukizidandiaga waleti (Pasua kichwa)
Kila siku kesi no (Pasua kichwa)
You need to leave me alone (Pasua kichwa, kichwa, kichwa)
Shawty ooh, give me your break
Kila siku unanipa mastress
Mi bado mdogo za nini stress?
Mitaani hauishi tetesi
Ng'ang'ana mpira sima na mpira
Wanashuti goal
Mambo ya wawili tumwachie Dr mwaka
Mchizi wa mambo
Tutiane stress (Pasua kichwa)
Kila siku kesi (Pasua kichwa)
Utanipa murder kesi wewe (Pasua kichwa)
Hapana no no no (Pasua kichwa, kichwa, kichwa)
Mara nikufumanie guesti (Pasua kichwa)
Ukizidandiaga waleti (Pasua kichwa)
Kila siku kesi no (Pasua kichwa)
You need to leave me alone (Pasua kichwa, kichwa, kichwa)
(The Mix Killer)
Watch Video
About Pasua Kichwa
More lyrics from Refresh Mind album
More BARNABA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl