Mzuri Lyrics
Mzuri Lyrics by BARNABA
Uuuh! ai mama Jamani mbona we mzuri hivyo
Uuuh! ai mama unavyoringa sasa sio shida zako hizo
Uuuh! ai mama Jamani mbona we mzuri hivyo
Uuuh! ai mama nakusifia ringa vimba kichwa ka pulizo
Ukicheka mzuri mzuri
Ukinuna mzuri mzuri
Ukiringa mzuri mzuri
Ata ukilia mzuri ni mzuri tu
Rangi ya chungwa mama chocolate viuno tanga manzabay
Lakipitlosi mama ona nywele shombe shombe Zanzibari chei chei
Umejaliwa nyama na huo mguu Aki Mungu hakosei
Mpaka nikuoe ndo ntafanya usiwe na wasi mama wala mi sikuchezei
Najionea wivu kukupata my boo, tabibu dozi nipe taratibu
Uuuh! ai mama Jamani mbona we mzuri hivyo
Uuuh! ai mama nakusifia ringa vimba kichwa ka pulizo
Ukicheka mzuri mzuri
Ukinuna mzuri mzuri
Ukiringa mzuri mzuri
Ata ukilia mzuri ni mzuri tu
Usuke sangitaa unapendeza hana haraka mtoto mwendo wa pweza
Yake mahaba ndio kaniweza kama chakula sahani ya pili naongeza
Walahi kwake naona nyota nyota tu si kwa mahaba unayonipa boo
Na huu wangu wivu utanikuta yasiyo niombeeni nipone
Ananivuruga pale anaponiuliza vipi uhakika mopao unajionaje
Namjibu niko sawa kisha namwambia nipigie video call
Najionea wivu kukupata we my boo, tabibu, dozi nipe taratibu
Uuuh! ai mama Jamani mbona we mzuri hivyo
Uuuh! ai mama nakusifia ringa vimba kichwa ka pulizo
Ukicheka mzuri mzuri
Ukinuna mzuri mzuri
Ukiringa mzuri mzuri
Ata ukilia mzuri ni mzuri tu
Ule kimini chuna tototo unafanya nishindwe kutoto
Umetakata uko sososo unawatesa cheki tototo
Mara uko nyonyo uko titi ata Saraphina anajua hushikiki
Eh! Serious nimempenda nasema na simuachi ah
Watch Video
About Mzuri
More BARNABA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl