Naona Love Lyrics
Naona Love Lyrics by DADA HOOD
Kwa walokuwai kufika
Karibu nikupe picha
Maybe itakupa motisha
Au inaweza kukutisha
-- na hapa kati ilikatisha
Now tell somebody, now tell somebody
Kwamba Frida yupo town and am aiming for the money
Nilipokuwapo zamani hawakuwa na imani
Na first battle nilianza home
Mami and daddy didn't believe it
Second battle kwenye street
Hiphop for boys better if you leave it
Nishapanda stage wakanizima akapanda Young Killer
Baadaye it was a stage for me to be here
Now always ni killer
Na kila dream nahisi for realer
Dada hood wako lindo(Lindo)
Wako lindo(Lindo)
Wanasaka zao ndoto hood wako lindo
Oooh lindo (Lindo)
Wako lindo(Lindo)
Wanasaka zao ndoto hood wako lindo
Na leo, Oooh lala mi sioni chuki naona love
Oooh lala mi sioni chuki naona love
Oooh lala mi sioni chuki naona love
Naona love, love
Going in shavu shavu, wapumbavu
Shika adabu zenu na za mababu
Kitu konki, kavu kavu
Wanapita pita hawachomoki guu mbavu mbavu
Never regular, mambo moto moto
Mama -- popular acha uombe photo
Mchele mchele vyakula game nayo
Napachapa na sitaki kubattle na watoto
Hii kwa wote wanao amini kujiamini power
Na tuongeze ongeze upendo kwenye chuki dawa
I got love for dem gals wanafanya sawa
Sio kugawagawa beef ndogo
Dada hood wako lindo(Lindo)
Wako lindo(Lindo)
Wanasaka zao ndoto hood wako lindo
Oooh lindo (Lindo)
Wako lindo(Lindo)
Wanasaka zao ndoto hood wako lindo
Na leo, Oooh lala mi sioni chuki naona love
Oooh lala mi sioni chuki naona love
Oooh lala mi sioni chuki naona love
Naona love, love
Watch Video
About Naona Love
More DADA HOOD Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl