Shagala Bagala Lyrics

HAWA NTAREJEA Tanzanie | Bongo Flava,

Shagala Bagala Lyrics


Imani yangu, kwake ipo
Pamoja na kuumizwa kote, bado nipo
Pengine yupo anayekidhi haja zake
Ndo maana sina la tiba na pendo lake

Nabaki nalia, najiinamia
Uwezo sina wa kumwambia
Nitoe wapi ujasiri, ajue eeh, ajue
Nikope wapi ujasiri, ajue eeh, ajue

Nikisema nilipize, aha aha
Itanigharimu maisha yangu, aha aha
Vipi nimuulize, aha aha
Ili niokoe hisia zangu, aha aha

Mambo shagala bagala
Yakizidi mi nitachizi, shagala bagala
Mi nitachizi
Yakizidi mi nitachizi, nitachizi

Shagala bagala
Yakizidi mi nitachizi, shagala bagala
Mi nitachizi
Yakizidi mi nitachizi, nitachizi

Zinanifariji ahadi zake 
Asemapo ananipenda
Kinachonishangaza kauli zake
Nimuache ametingwa

Nakosa haraka amenipumbaza 
Najiona mi mjinga

Nabaki nalia, najiinamia
Uwezo sina wa kumwambia
Nitoe wapi ujasiri, ajue eeh, ajue
Nikope wapi ujasiri, ajue eeh, ajue

Nikisema nilipize, aha aha
Itanigharimu maisha yangu, aha aha
Vipi nimuulize, aha aha
Ili niokoe hisia zangu aha aha

Mambo shagala bagala
Yakizidi mi nitachizi, shagala bagala
Mi nitachizi
Yakizidi mi nitachizi, nitachizi

Shagala bagala
Yakizidi mi nitachizi, shagala bagala
Mi nitachizi
Yakizidi mi nitachizi, nitachizi

Aha aha
Aha aha
Aha aha
Aha aha

Mambo shagala bagala
Shagala bagala

HAWA NTAREJEA (3 lyrics)

Hawa Mayoka  stage name ' Hawa Ntarejea' is an artist from Tanzania. Hawa is best known for her song featuring Diamond Platnumz 'Nitarejea' .

Leave a Comment