Rudia Lyrics
Rudia Lyrics by YOUNG KILLER
Me bwana nimezaliwa kusema mi nasema
Ukishindwa kunitafsili we relax
Labda utanielewa mwakani for now mama
Rudia ana watoto wawili
wapili anaitwa tena
Nambieni sa wakwanza ataitwa nani
Pozi kumpoza
Chozi kumlenga
Yaani naamua kumposa yule
Mloamua Kumpenda
So kijua ndio hiki usipoanika
Unautwanga mbichi karibu tule
.Ila nenda kanawe coco beach
Sorry umenikuta leo na bad mood
Ila zege halilali hii habari iende mpk Hollywood
Afu mko very serious mi sicheki na kima
Hamnambii kitu kwanza mkisia
Kuhusu mimi tu mnawahariba siku we usiniharibie wasifu pumbavu
Hamjui kuchana
Hamjui kushona washamba
Kuongea hamchoki
I’m the first and only kipenzi cha hii rap
Mwanza mwanza now I change kwa hii rap kwa hii rafu
Msodoki for hip hop
Stay on your lane my hommie
Nikumia anafee the same pain
I’m hustle, nikicomparega rasta mie simo
Nawavuaga nguo nusu mara kitako mara kim
Afu napita msata mpk chamwino
Sio kila beki ni tatu ila kila snich n chatu
Sio kila machi n tafu, sio kila pesa ma
Nhee natia huruma usicheze na mi msukuma
Rudini kwa walio watuma, kabla sijawapitiaaa?
Mnachekeshaa ninyi, I know mi ninaweza kupata
Machura kwa mgongo wa futa, na ukikanyaga tu mafuta kinanuka
Let me say, never let your dream disappear
Nilivo hakuna tofauti na mnavoniskia
Kwanza ukiniwaza unasinzia
Msodoki the son king yourself if end
Ma garden fun God iz plan kikubwa pumzi
Kama mungu kapanga sa nyie wakinanani
Nyie hata kwetu wapo mlipo wapo wahacheki nawe
Ila we ndio unacheka nao
Hapo usipotumia uwezo wako ukaitimiza
Ndoto yako ndio wanatumia uwezo wakojutin
Kuingizana mkenge ndio wana damu
Vile riziki mungu anatoa anagawa ngoja kwanza Adamu
Nijitanue ndio hawa acome
Wangejua kuwa wasijisumbue wang
Sometime nikusahau walokusau
Shobo za kumix mrenda kwa pilau, mwisho inakuwa jau
Kwa tulipotoka na kwa hapa tulipo angalau
Ater day tunapanda dau, wanabaki too much sadness
Yani huwezi nyimwa ka huombwi, unakosa hukondi unasemwa huchong
Una mengi haubongi una pesa hauhon, ni kama hujui unapokwenda kwahiyo
Sehemu uliyowepo utahisi umefika
Ni funzo hgii sauti inaposikika ko
Usipuuze babuwanasema hakuna ada mbayua kama
Sifa kafanya watu wengi wameaibika, kupata tabu tulia utapata shavu
Siishi kwa kuremba, umasikini unafanya mkipewa pesa
Mjihisi mnapendwa, bro kisichonuiua kinanikomoza kiaskari
Na ukinichukia unadhihirisha mi ni mkali
Baya baya we jiheshimu uheshimiwe
Chuki ni bure labda ungeomba mungu usizaliwe
As long as tuko hai, kil akitu yechu we umechelewa
Kuknijua labda ungeniulizia kwezu ooh fupi tamu
Amini kwamba inayokera ndefu ooh
Ishi usimangwe kufa usifiwe shujaa wetu
Yerah!!
No mission without vision
Pesa haziji kwa maombi pekee fanya
Sometime nawaza nimekkujaje kwa hi cha watoto wanaojitundikia
Vitanzi cheki wanapandishwa wanal
Ona matako wazi, name silazi nachapa kazi
Nafikiri iko wazi wajumbe
eBhANAA
Watch Video
About Rudia
More YOUNG KILLER Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl