Alhamdulillah Lyrics
Alhamdulillah Lyrics by YOUNG KILLER
Eee bwana, mama Msodoki see your boy
Kipenzi cha watu kinene wenye wanaenjoy
Shukran ziende kwa Mwenyezi kwa haya mapenzi
Wote waliodhani siwezi
Siku natoka nyegezi nitakuja kufight
Journey nimeketi kwa bus
Nawaza tu mic, nishike nichane
Shabiki furahi nijulikane
Sio kila sifa nikusanye kila vita nipigane
Kila picha nitazamwe
Sio kila ambacho nakosa nifanye
Am so sorry tusameheane
Kila tua dua hamjanitupa
Moyo wangu uko nanyi hadi siku nakufa
Sitaji likitajwa jina mnaruka
Na mnafurahi wote Msodoki the son
Nayo ni since day one
Yoh mic check one two, one two
Uhang nami bila crew
Nguvu ya umma upendo wa watu
Hakuna mimi behind nyinyi it's true
Ona wengine wamechora tattoo
Nikitoa wimbo mapokezi juu
Always on my mind till I die
Hakuna siku nitakayo ona kuu
Too much love mnanipokea
Mnanisupport mnaniombea
Together for real ushindi ni wetu
Tumeshinda kila vita
Wanacompare ila wakapotea yeah
Sometime kwenye show back bencher
Tunakesha mnaruka na mimi
Yaani tunacheka ndo tunasepa
Yaani tunapeta
Na tukikutana mapicha freshi
Wasanii kibao hadi kwenye sheti
Yoh face to face namurder kesi
Nawapa verse mnachange namba mnakuwa friends
Yoh backstage it's going down, it's going crazy
Eh bwana, enda nyi wapenzi, one love yeah
Alhamdulillah
Kila niki-open my eyes
Baraka tele hakuna wa kunitry
Na huwezi kunishika
Niko trillion miles
Sometimes natokwa machozi
Mnavyonipokea surprise
Msodoki the son naombea kwa Mwokozi
Kila nikiclose my eyes
Mi sivurugu nafsi kwangu furaha
Alafu ushindi lazima
Wanaojifunza kuogelea baharini
Waambie watazama mi si wa kupima
Follow for your type njoo nikupe madini
Maana potunza hapatoshi mtachelewa mpaka lini
Huku mgodi unatema, afu kitu na box
Yaani killer ana master ya hii kitu
Mtu akikunja kwangu mi ni pistol
Baba samehea hawajui walitendalo
Yaani kama alivyosemaga Kristo
Alhamdulillah
Tumetoka chini hadi kwenye sky
Mola tulinde maisha marefu
Yenye furaha tujilipe na tujidai
Wenye chuku wamechoka nishai
Yaani kila niki-open my eyes
Baraka tele hakuna wa kunitry
Na huwezi kunishika
Niko trillion miles yes I yeah
Alhamdulillah, Alhamdulillah
Watch Video
About Alhamdulillah
More YOUNG KILLER Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl