YOUNG KILLER Wanene Tv Studio Session cover image

Wanene Tv Studio Session Lyrics

Young Killer collaborates with Wanene TV in the new freestyle "Wanene TV Studio Session"...

Wanene Tv Studio Session Lyrics by YOUNG KILLER


(Dapro on the track)
Eeh Bwana! Wanene Tv

Ha! Ukweli uko wazi haujifichagi
Yo usimpe kichwa panzi, mzinga Konyagi
Warembo wape Zanzi na maji kwenye jagi
Wapunguze stress kisha niwape steam wakinihug

Mungu ndo mpaji kanipa kipaji
Wanangoja nikae kimya wanakuta sinyamazi
Yaani warembo na kazi, Henessy na Zanzi
Wote wazima hakuna dogo wa kumtuma mandazi

Nalala na mchuchu naamka na supu
Nimeamka tajiri nililala kapuku
Nilizima na nguo nimeamka mtupu
Kitandani watoto wanalia kama kasuku

Okey mimi na pombe kwenye red cup
Niukimbie unyonge chap umenipalamia pap
Usione bado tupo top izo ni blessing
Naona haina haja kuki close kiki happen

Ina end anjel kuwapata ni chanel
Nyumba hii haiuzwi ogopa matapeli
Vibopa na cancel na maisha ni travelling
Tunaenjoy thug life Tupac Makaveli

Unapanda kitandani umevaa nguo una maana gani
Akili ya kuchimba chambo kwenye lami
Hapa ukija kichwa kichwa unarudi tipwa tipwa
Kuna pombe na madem na vitu vimepikwa pikwa

Misosi naenda kitchen everybody listenig
Atakae shindwa chochote basi naomba njoo unipe me
Pool naenda garden, mvinyo ukikolea 
Hapa naona wakala wengi mpaka sijui pakutolea 
(OYeaah)

Sijasema watu wameiba
Wakati nawe umeshakula vya watu umeshiba
Alafu wahuni wanakuomba mmmmh unaziba
Utavua viatu utachuma kisamvi na riba
Yaani utapigwa Hatari!

Makofi na makabari 
Utaendaje home na dereva kashalewa chakari
Ila mwenzio hatari kama vipi mpe habari
Bellaire halewi bwana mfungulie Safari

Na hatulewi kwa sababu ya stress
Kwetu hasara roho heshima inaambatana na cash
Jicho nyanya hebu tazama my face
Hapa hakuna kuchorana ka Ronaldo amekutana na Messi

Grace mi nahitaji company
Mtoto mmoja wastani
Crii mpaka maka hafu tutokee kitandani
Hapo kifuatacho ni kutia mpira kambani
Ukiona umetengwa basi jua hujichanganyi

Fanya unitembezee shuka kutakucha
Maana fisi leo napolala kuna butcher
Pale askari kasimama kuna pusha
Zile bebe kali ziloinama zimesuswa

Mwambie bouncer asilete nyama za sambusa
Apambane maana kuna baby mama azijaguswa
Au ni huku vimini na flana vinashushwa
Kifuatacho kupambana tu na rushwa

Macho zigizigi za niga za wizi wizi
Baby yuko na mi yaani ni kijigijigi
All night all right, alright
Alriht all night oooo..

Watch Video

About Wanene Tv Studio Session

Album : Wanene Tv Studio Session (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Jul 22 , 2020

More YOUNG KILLER Lyrics

YOUNG KILLER
YOUNG KILLER
YOUNG KILLER

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl