Harmonize One Love Rayvanny Lyrics
Harmonize One Love Rayvanny Lyrics by B CLASSIC 006
Hasa vijembe ni vya nini? Kati nyote wasanii
Konde ukiwa Wasafini, Mlikuwepo family
Hasa ugomvi ni wa nini? Kumbukeni TBT
Yale mliofanyaga wote, mkashinda na bidii
Nachotaka kwenu, one love one love
Nachotaka kwenu, one love one love
Wasaniii tuwe na umoja
Kwenu, one love one love
Nachotaka kwenu, one love one love
Wasaniii tuwe na umoja
Tukiona kaugomvi tusichochee
Bali tusuluhishe
Tusingoje na madhara yatutokee
Tufanye mambo yaishe
Kuna watu Tembo wanakupenda
Rayvanny watu wanakupenda
Na mpunga ni mrefu sana
Otile anajua mi ni mkali, ila ni One Love
Madini kutumia jina langu, ila ni One Love
Masauti kutoka na dem wangu, ila ni One Love
Khaligraph kutopost ngoma yangu, ila ni One Love
Nachotaka kwenu, one love one love
Nachotaka kwenu, one love one love
Wasaniii tuwe na umoja
Kwenu, one love one love
Nachotaka kwenu, one love one love
Wasaniii tuwe na umoja
Nachotaka kwenu, one love one love
Nachotaka kwenu, one love one love
Wasaniii tuwe na umoja
Kwenu, one love one love
Nachotaka kwenu, one love one love
Wasaniii tuwe na umoja
Watch Video
About Harmonize One Love Rayvanny
More B CLASSIC 006 Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl