Shobo Lyrics
Shobo Lyrics by BARNABA
Ooh shobo acha shobo kama jambo hulijui ulizaga acha shobo
Ooh shobo acha shobo kama jambo hulijui ulizaga acha shobo
Wapi major keyz chikilikaka chkiri chikiri
Wabonyeze (major keyz baby)
Ooh ngendembwe za nini sasa hee hee
Kama kupika kweli unajua kupika (MashaAllah)
Ila unaharibu tu mbwembwe ukizidisha (hapo sasa)
Nikuombe lazizi punguza ujuaji
Ooh enyi wanangu pia niwape some, mkipewaga lifti punguzeni midomo
Nimekuwashia AC unataka na muziki
Sasa sio nini kama ujuaji
Ooh punguza ujuaji
Dada danga limekuita peke yako kulikomea eti unaenda na wenzako
Utakosa vyote punguza ujuaji
Ooh punguza ujuaji
Hii ni message yebu weka bundle (punguza ujuaji)
Chawa wanajifanya wanamjua boss
Vyengine siri wao ghafla washavipost
Za chini samba kasema itawakost Baba levo
Mwijaku punguzeni ujuaji
Ooh shobo acha shobo kama jambo hulijui ulizaga acha shobo
Ooh shobo acha shobo kama jambo hulijui ulizaga acha shobo
Usiopenda kujituma acha shobo
Kufatafata watu nyuma acha shobo
We kazi insta unatukana punguza shobo
Hautujui unavamia tu zitakuponza shobo
Kama hakupendi usiforce akupende tu
Kulazimisha mapenzi
Huo ni ujinga duh
Kujitia king’abg’anizi punguza ujuaji
Kama vikoba si tunacheza wote
Jana umepokea leo iweje unikope
Sasa sio nini punguza ujuaji
Ooh punguza ujuaji mabinti wa mjini punguzeni mapepe
Bando tunawanunulia status mnamuweka mbape
Sasa ndo nini punguza ujuaji
Ooh punguza ujuaji
Na nyi wakaka wamjini punguzeni kujichubua
Kati ya wewe na mkeo yupi demu ngumu kajua
Mtavalisha bikini punguzeni ujuaji
Ooh shobo acha shobo kama jambo hulijui ulizaga acha shobo
Ooh shobo acha shobo kama jambo hulijui ulizaga acha shobo
Usiopenda kujituma acha shobo
Kufatafata watu nyuma acha shobo
We kazi insta unatukana punguza shobo
Hautujui unavamia tu zitakuponza shobo
Watch Video
About Shobo
More BARNABA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl