Loweka Lyrics by BARNABA


Ulisema unanipenda unanifeel
Ona sasa najuta kujuana
Ukasema hutokwenda ata kama macho kodo
Wakitoa macho sana

Ulitaka nini kwani mimi nisikupee
Ulisettle ndani kumbe nje shang kupe
Venye buda yaani mi nidhalilike
Machozi hayawezi kukuwacha wewe usalimike

Yuko wapi my love, yuko wapi my love?
Yuko wapi my love, yuko wapi my love?

Nikitoka wanaweka, wanaweka wanaweka
Machizi wanaloweka, wanaloweka wanaloweka
Dem gyal am a bomboclat eeh 
Dem gyal am a bomboclat eeh 
Dem gyal am a bomboclat, bomboclat, bomboclat

Yeah exactly
Maana kumbe mjinga ni mimi
Nilikuwa naona far
Maana paka la mjini unakaa kila bar

Stay away from me I don't want you no more
Maana nikiondoka machizi wanalowekaga
Naona hakuna mapenzi nachorekaga
Bora niwe ulishaganikondeshaga

Yeah yeah yeah yeah
Wanaanzisha vitimbi unaniona kama pimbi
We mami ma, manina 
Unaniona kama pimbi, unaanzisha vitimbi
Mami ma, manina 

Manina, manina 
Manina, manina 
Manina, manina 
Manina, manina

Nikitoka wanaweka, wanaweka wanaweka
Machizi wanaloweka, wanaloweka wanaloweka
Dem gyal am a bomboclat eeh 
Dem gyal am a bomboclat eeh 
Dem gyal am a bomboclat, bomboclat, bomboclat

Huwa na tusingejuana baby
Hata text zako singesoma IG
Niliambiwa na wadadisi nikagoma baby
Leo kinyago changu umenichonga HD

Ina maana uko na utamu wa kunishow nice romance
Still ukanifanya bonus
Sio rahisi kukusahau labda nikuformat
Kiungo kwenye mwili kama shati  tu na collar
It's alright, it's alright

Sometimes nalaumu mpaka nakufuru Mungu
Nakufuru Mungu yeah yeah
Kumbe we ulinichora ukatupanga kwa mafungu
Tupanga kwa mafungu yeah yeah

Penzi ukalicheza no fair
Ungeongea ningejua wooo
Hivi ulivyofanya not fair
Ningejua nisingeingia woo woo 

Nikitoka wanaweka, wanaweka wanaweka
Machizi wanaloweka, wanaloweka wanaloweka
Dem gyal am a bomboclat eeh 
Dem gyal am a bomboclat eeh 
Dem gyal am a bomboclat, bomboclat, bomboclat

Watch Video


About Loweka

Album : Refresh Mind (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020 Hightable Sound
Added By : Huntyr Kelx
Published : Dec 15 , 2020

More lyrics from Refresh Mind album

More BARNABA Lyrics

BARNABA
BARNABA
BARNABA

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2023, We Tell Africa Group Sarl