Mazingira Lyrics
Mazingira Lyrics by DI NAMITE
Pamoja mimi na we
Tuyatunze mazingira
Hata sisi watoto eeh
Tuyapende mazingira
Mazingira yetu
Tuitunze tuilinde
Yanaharibika
Tuyatunze tuilinde
Na dunia yetu
Tuitunze tuilinde
Inaharibika
Tuitunze tuilinde
Dunia iko mashakani
Tutunze mazingira jamani
Tukapande miti wote
Tuinusuru dunia jamani
Niwe na homa leo
Watapata taabu jamii ya kesho ooh
Tutunze misitu, tutunze bahari ooh
Vyanzo vya maji tusiviharibu oooh
Mungu ameumba dunia,
Watu wake pamoja na dhamani
Wote tuitunze dunia
Ibaki kama zamani
Pamoja mimi na we
Tuyatunze mazingira
Hata sisi watoto eeh
Tuyapende mazingira
Mazingira yetu
Tuitunze tuilinde
Yanaharibika
Tuyatunze tuilinde
Na dunia yetu
Tuitunze tuilinde
Inaharibika
Tuitunze tuilinde
Mafuriko, kibunga husababishwa
Na tofauti ya mazingira,aaah
Hali ya hewa kuwa mbaya husababishwa
Na tofauti ya mazingira,aaah
Moshi wa viwanda, ukomeshwe
Plastic material, ukomeshwe
Utupaji wa taka, uboreshwe
Ukataji miti, ukomeshwe
Uchomaji misitu, ukomeshwe
Uvuvi haramu, ukomeshwe
Pamoja mimi na we
Tuyatunze mazingira
Hata sisi watoto eeh
Tuyapende mazingira
Mazingira yetu
Tuitunze tuilinde
Yanaharibika
Tuyatunze tuilinde
Na dunia yetu
Tuitunze tuilinde
Inaharibika
Tuitunze tuilinde
We have only a little time
To save our world
The world is unique
Is our home, we have to love it
Watch Video
About Mazingira
More DI NAMITE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl