Dodo Lyrics
Dodo Lyrics by THE MAFIK
Wape mabao hawa wape za hapaa…
Wanaopiga miayooo shape aje hapaa…
Dondola kiuno unavyo sakata
Kwa kati (heheeee)
Nami nazama humohumo
Mende kalidondosha kabatiii …. (heeeee)
Ting’ aring’ ariiii Mtu mzima nimeokata Dodo
Ting’aring’ ariiii wambea wameanza zogo heeee…
Ting’ aring’ ariiii Mtu mzima nimeokata Dodo
Ting’aring’ ariiii wambea wameanza zogo
Heeyaa heeee yayaya
Heeeyaaa (mhmhhh) heeee yayayaaaa
Natena dance kidogo eeee…
Heeyaaaa heyaaa heee yayayayaaa
Natena ruka kidogo
Heeyaaa heyaaa heee yayaaaa
Majukumu tena ashazima
Wanatangaza bei wauze vyumaaa
Mtonyo kama nimeteka benki
Madada zao hazikabi bekiiii…
Ananipa (heheee) mgongongooo kwa pozi
Swagga bingwa mikogo (mikogoo)
Mimi ndo Mr. Ndondondoo
Wakimanyema bunu sifa Mchongongoooo (heheeee)
Ting’ aring’ ariiii Mtu mzima nimeokata Dodo
Ting’aring’ ariiii wambea wameanza zogo heeee…
Ting’ aring’ ariiii Mtu mzima nimeokata Dodo
Ting’aring’ ariiii wambea wameanza (zogo) heeee…
Heeeyaaa heeee yayaaaaa
Heeeeyaaa (mhmhhh) heeee yayayaaaa
Nataka dance kidogo eee…
Heeeyaaa heyaaa heee yayayaaaa
Natena Ruka kidogo heeeyaaa heyaaaa
(heeee yayayayaaaaaa)
Kombolelaaaa jifiche kwa nakini
Bonyea chini chinii kiselaaah
Iwe kwa chupi ama mini Ruka jiamini
Mavumba nishapata kinachofuata
Ni mchumba kukamata (aahaaa)
Asa mbona inanata lete wese
Mambo yawe SWADAKTAA( heee)
Ting’ aring’ ariiii Mtu mzima nimeokata (Dodo)
Ting’aring’ ariiii wambea wameanza (zogo) heeee…
Ting’ aring’ ariiii Mtu mzima nimeokata (Dodo)
Ting’aring’ ariiii wambea wameanza (zogo) heeee…
Heeyaaa heeyaaa heee yayayaaaa
Natena Ruka kidogo heeyaaa heyaaa heee yayayaaaaaa
You call me daddy heeyaaa heyaaa heee yayayaaaa
I call you mamiiii heyaa heeyaaa heee yayayaaaa
You call me daddy heeyaaa
I call you mamiiii heyaa heeyaaa heee yayayaaaa
YUGO ON THE BEAT
Raaaaaa AAAAAAH
Watch Video
About Dodo
More THE MAFIK Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl