Vuruga Lyrics
Vuruga Lyrics by THE MAFIK
Bora nilosti
Hapana kukukosa wanje my beiby
Come on, come on yeah
I feel like crying we mugore wanje
Hanifa aah, wanifaa aah
Hanifa aah, eeh mugore wange ma bby
Kundondoka sio kuanguka, my beiby go
Am so sorry nikikosa mmh maneno
I swear, I swear, I swear
I swear, I swear, I swear
She is my wife beiby
Chonde hala hala
Milima na mabonde toka mbali
Chonde hala hala
She is my wife beiby
Chonde hala hala
Milima na mabonde toka mbali
Chonde hala hala
Amenivuruga, haya wee
Akicheza chakacha
Ananivuruga, haya wee
Akicheza chakacha
Amenivuruga, haya wee
Akicheza chakacha
Ananivuruga, haya wee
Anicheza chakacha
Ata tukiwa gizani
Nuru inang'aa
Tusiishie njiani wala
Japo mbele kuna tsunami
Tukijipanga, hofu mashaka ya nini?
You girl go tell everybody
Kwamba umependwa na mimi
You are my darling eeh
Wanazuga hawakuelewi
Kisa umependwa na mimi
Hawakuelewi
She is my wife beiby
Chonde hala hala
Milima na mabonde toka mbali
Chonde hala hala
She is my wife beiby
Chonde hala hala
Milima na mabonde toka mbali
Chonde hala hala
Heya, mtoto fulani karikiti
Tukiwa chumbani maruani hashikiki(Wooya)
She got a gwan like Nikky
Mahaba tana, wanitahaiti(Eeeh heya)
Nipeleke adoado mpenzi
Mbio mbio utaumiza
Usiwasikize wanafiki wawezi
Mwishowe watakuliza
Unifikishe usiniache pabaya(Oh nah nah)
Umekula ya mimi baby usije retire(Oh nah nah)
I call you Shivaya(Oh nah nah)
Umenipa vitamu vitamu ile mbaya(Oh nah nah)
Amenivuruga, haya wee
Akicheza chakacha
Ananivuruga, haya wee
Akicheza chakacha
Amenivuruga, haya wee
Akicheza chakacha
Ananivuruga, haya wee
Anicheza chakacha
Enhe, enhe, enhe...
Enhe, enhe, enhe...
Watch Video
About Vuruga
More THE MAFIK Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl