NOKEY My Love cover image

My Love Lyrics

My Love Lyrics by NOKEY


Izi rahaaa
Natamani niwaahadithie
Mana tunakuwaga wawili
Tunafanyaga yasiri
Tena rahaaa
Kando yangu asinikimbie
Nimemfanya mtunza siri
Anazitunza zangu siri

Njia kuu
Sisi tupo njia kuu
Atupendi kona kona
Simnatuona
Baby buu
 foreva me and you
Foreva me and you
Foreva me and you

Napenda unavyo kata
Mzuri umetakata
Navile umenipata
Nami nimekupata
Twende zetu katavi
Tukale zetu bata bataaaah
Napenda unavyo kata
Mzuri umetakata
Navile umenipata
Nami nimekupata
Twende zetu katavi
Tukale zetu bata bataaaah

Kiitikio
Oooh my love
Hodari hoda hoda hoda
Hodari my love
Hodari hoda hoda hoda
Oooh my love
Hodari hoda hoda hoda
Hodari my love
Hodari hoda hoda hoda

Sii aitoshi ukinipikia
Vinanukia
Asali mana unanipatia
Utamu sana nimekolea
Yani vyautosi vimezidi
Utamu mkolea
Utamu utamu  sogea
Aii umeniwezea ash
Kwako mi kleize
Nitachora na tatoo
Nitachora na tatoo
Nitachora na tatto

Napenda unavyo kata
Mzuri umetakata
Navile umenipata
Nami nimekupata
Twende zetu katavi
Tukale zetu bata bataaaah
Napenda unavyo kata
Mzuri umetakata
Navile umenipata
Nami nimekupata
Twende zetu katavi
Tukale zetu bata bataaaah

Kiitikio
Oooh my love
Hodari hoda hoda hoda
Hodari my love
Hodari hoda hoda hoda
Oooh my love
Hodari hoda hoda hoda
Hodari my love
Hodari hoda hoda hoda

Watch Video

About My Love

Album : My Love (Single)
Release Year : 2023
Copyright : © 2023 Kataviboi99music
Added By : Farida
Published : Sep 06 , 2023

More NOKEY Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl