
Kasimama Lyrics
...
Kasimama Lyrics by NOKEY
Lala laaah la la lala
Lala laaah la la lala
Lala laaah la la lala
Lala laaah la la lala
Aaah sio mimi wala akili yangu
Hisia zimeanguka kwako
Sio mimi, wala matakwa yangu
Hisia zimezama kwako
Wewe hapo unafanya naogopa
Wewe hapo usije ukaondoka
Wewe hapo mwenzako ntakufa
Wewe eeeh ukija kuniacha
Ona kasimama kamuona
Kasimama kamuona
Ona kamuona
Kasimama kamuona
Ona kasimama
Peke yake
Kasimama
Mchumba wake
Kasimama
Peka yake
Kamuona
Mchumba wake
Ona kasimama
Peka yake
Kamuona
Mchumba wake
Mmmh weed
Yeah ulio mtaka kaja huyu hapa
Umemgsisha paja huyu hapa
Shake shake nae mwenyewe
Cheza cheza nae mwenyewe
Umemtoa mbali buguruni m alapa
Umemleta beach umemuonesha papa
Shake shake nae mwenyewe
Cheza cheza nae mwenyewe
Kasimama peke yake
Afu na makeke yake
Kaona mavitu yake
Kaona mavitu yake
Kasimama peke yake
Afu na makeke yake
Kaona mavitu yake
Kaona mavitu yake
Ona kasimama kamuona
Kasimama kamuona
Ona kamuona
Kasimama kamuona
Ona kasimama
Peke yake
Kasimama
Mchumba wake
Kasimama
Peka yake
Kamuona
Mchumba wake
Ona kasimama
Kamuona
Watch Video
About Kasimama
More NOKEY Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl