NOKEY Anauma  cover image

Anauma Lyrics

Anauma Lyrics by NOKEY


Mke wangu  kauli zako nimezizoea  mmmh
Usiponiomba mimi
Unataka umuombe nanii
Mke wangu huu
Amakweli nimekuzoea
Yani  nisipokula wewe
Unataka nikamle nanii

Jamani mke anauma
Nandomana nawivu jejeje
Mke anauma usinijaribu lololo
Jamani mke anauma
Atanikitoka nitatoka nayeye
Mke anauma usinijaribu  nonono aaah

Mazoea leta kwenye kazi
Leta kwenye pesa
Lakini sio mke wangu nonono
Yaniii kama utani nitanie mimi
Kawatanie ndugu zangu
Lakini sio mke wangu nonono

Maana anaumaaaa
Anaumaaa
Yaniii anaumaaaa
Anaumaaa
Mkewangu anaumaaa
Anaumaaa
Yaniii anaumaaaa
Anaumaaa

Siwanata vifo vyakujitakia
Vijana wa leo
Eti kwenye ndoa zetu kuna watoto wako
Nawanashinda gym kujaza vifaa
Vijana wa leo
Etisiwenye vitambi siocarneyao
Wangu usimtamani
Minina wivu nishajijuaa
Unamuulizia wanini
Ata siwezi  kukwachia
Wangu usimtamani
Minina wivu nishajijuaa
Aaah nishajijuaa  aaaah

Mazoea leta kwenye kazi
Leta kwenye pesa
Lakini sio mke wangu nonono
Yaniii kama utani nitanie mimi
Kawatanie ndugu zangu
Lakini sio mke wangu nonono
Maana anaumaaaa
Anaumaaa
Yaniii anaumaaaa
Anaumaaa
Mkewangu anaumaaa
Anaumaaa
Yaniii anaumaaa
Anaumaaa

Watch Video

About Anauma

Album : Anauma (Single)
Release Year : 2023
Added By : Farida
Published : Jul 11 , 2023

More NOKEY Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl