Manjee Lyrics
Manjee Lyrics by WEUSI
Y’all ready to fly?
Okay, okay Air Weusi okay!
Marapper hawapendi sisi, marapper okay
Marapper hawa penny sisi, marapper wa pay
Kinacho wapain sisi, marapper wa bei
My money on the rubber band, baraka okay
Waraka wa baba mengi, waraka wa pay
Tunaipandisha game, bado mnavunja bei
Even Frank knows, corner zote
Tulipita tuki knock doors We make doh
Giza, watu hawataki mimi ni manjee
Watu wanawekaga, giza
Watu hawataki mimi ni manjee
Watu wanawekaga, giza
Manjee manjee, day by day
Labour Day wanikatie mkate
Shida ni manjee manjee, day by day
Labour Day wanikatie mkate
Mnapenda beef beef, tufungue butcher
Tukikiwasha hakibaki cha ukucha
Ambia sinza huku si ndo kumekucha
Nakisanua azimio la Arusha
Aah, bonge la boflo hamuoni vitobo
Bado mnapigania kukata gogo,
Akili ndogo, hamuenei vibobo
Hamfiki nusu, daily mshiko robo
Machizi wanaigiza hizo tabia wanabii
Bongo kama mbele hamko mbele mko Z
Maisha hayanivuti, kanivuta Mwokozi
Na usishangae mwanao leo ni pusha kesho nabii
Giza, watu hawataki mimi ni manjee
Watu wanawekaga, giza
Watu hawataki mimi ni manjee
Watu wanawekaga, giza
Manjee manjee, day by day
Labour Day wanikatie mkate
Shida ni manjee manjee, day by day
Labour Day wanikatie mkate
Vita ni vingi upigane ipi ndio maswali
Vita ni vita mwanangu daily noa makali
Mara ghafla imepanda bei ya sukari
Na round hii hamuwezi funga geti kali
Watoto wa uswazi wanapenyea digitali
Game la siasa legendary
Nipo Chuo hawapandishi secondary
Tatizo sio kutoka na sio mistari
Tatizo kuna wimbi lenye njaa kali
(Kali ni kali ni eeh)
Giza, watu hawataki mimi ni manjee
Watu wanawekaga, giza
Watu hawataki mimi ni manjee
Watu wanawekaga, giza
Manjee manjee, day by day
Labour Day wanikatie mkate
Shida ni manjee manjee, day by day
Labour Day wanikatie mkate
Watch Video
About Manjee
More lyrics from Air Weusi album
More WEUSI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl