WEUSI Bado Hujabalehe cover image

Bado Hujabalehe Lyrics

Bado Hujabalehe Lyrics by WEUSI


Bado hujabalehe
A city in the house
Bado hujabalehe
Keys keys open doors
Bado hujabalehe
Your shit bang insta captions
My shit bang top ten
Bado hujabalehe
Oh your shit is a gang gang
Bado hujabalehe
Skrrrt skrrrt skrrrt, skrrrrrtttt
Bado hujabalehe

Mafundi wa kujishow show mataploo
Na mkija kwneye show joh ni Pablo Escobar
Mboyoyo mingi no lba unakula kwa mjombaa
Tafunwa kama gombaa afidsaa
Eti club za kishua
You don’t play local
Huku mtaa sisi ndio washua
We outside motto
Ati motto ataka wigi kachaa nipe mkopo
Kuishi juu ya matumizi utaokota makopo
Mkasi juu, mkasi chini mkasi katikati
Katakata hawa mapimbo wasio na mikakati
Watu wanawaza kupaa juu wa katikati
Watu wanakopa Mabank unakopa chapatti

Heee heee heee heee
Bado hujabalehe
Heee heee heee heee
Bado hujabalehe
Heee heee heee heee
Bado hujabalehe
Heee heee heee heee
Bado hujabalehe

Kama hujali familia basi Bado hujabalehe
Kama hujali afya yako basi Bado hujabalehe
Kama hujuvunii Tanzania wewe Bado hujabalehe
Shobo jingi mkiona dough nyingi sisi kwetu kawaiida     
Napenda sana vijana wangu muwe mnaenda namida
Niite dingi’ bro’ pro profesa bariida
Ogopa sana huu mziikii Bado hujabalehe
Mungu akibariki hupumziiki Bado hujabalehe
Ogopa sign kwenye lebo Bado hujabalehe
Usiuze nafsi kwa huyo devil
Bado hujabalehe
Heee heee heee heee
Bado hujabalehe
Heee heee heee heee
Bado hujabalehe
Heee heee heee heee
Bado hujabalehe
Heee heee heee heee

Mjuaji a siejua (aaanhh)
Utajua hujui (aaanhh)
Kitaa kinapanua (aaanhh)
Watu wanapauwa (aaanhh)
Ukiambiwa mtulize unaanua
Muda upozake tu, ndo utakuumbua
Ukubwa sio kuitwa baba, Bado hujabalehe
Ukubwa sio kuvunja chaga Bado hujabalehe
Hupambanii kutoka ghetto Bado hujabalehe
Hela ya guest yenta hela ya kodi inakaba
Mzee bibi titiz, kuanzisha mtiti
Mjomba jela mziki Bado hujabalehe
Heee heee heee heee
Bado hujabalehe
Heee heee heee heee
Bado hujabalehe
Heee heee heee heee
Bado hujabalehe
Heee heee heee heee
Bado hujabalehe
Bado hujabalehe
Bado hujabalehe

Watch Video

About Bado Hujabalehe

Album : Bado Hujabalehe (Single)
Release Year : 2022
Added By : Farida
Published : Aug 30 , 2022

More WEUSI Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl