Kazi Iendelee Lyrics
Kazi Iendelee Lyrics by HARMONIZE
Hahahaha ...Jeshi
Alilililili...
Mamamama...mamamama...
(Konde Boy)
Awilo ooh, Awilo oooh
Kazi iendelee, tuchape kazi tusonge mbele
Kazi iendelee, tuchape kazi tusonge mbele
Kazi iendelee, tuchape kazi tusonge mbele
Kazi iendelee, tuchape kazi tusonge mbele
Maendeleo na kila hitaji we (Ya hitaji)
Kuchapa kazi ndo iwe mtaji we (Iwe mtaji)
Mama Samia ndo msimamiaji we (Msimamiaji)
See zegele leo namwaga leo hangojagi tomorrow
Elimu maji afya barabara zipo kila chochoro
Basi mama tubebe kwa mbeleko, watanzania wote
Baada ya huzuni faraja na vicheko
Neema tuziolkote
Na majumba, jumba ya wafanyakazi majumba
Dumba dumba mafisadi wasikutishe na dumba
--------
-------
Watch Video
About Kazi Iendelee
More HARMONIZE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl