
Coming Home Lyrics
...
Coming Home Lyrics by HARMONIZE
Bomboclaat
Mdogo mdogo tunajikongoja
Hazisogei lisaa limoja
Najua mchumba unaningoja
Mpaka lunch umekula saa moja
Kuna bonge la foleni mamaa
Hapa nilipo nimesimamaa
Kuna bonge la foleni mamaa
Hapa nilipo nimesimamaa
Au nipande boda na hivi nilivyo
Kibonge ongeza vocha
Mama mtu tubongee
Nimebanabana ili nije nikuhonge
Am coming home
Baby usikae kinyonge
Ningojee
Na usikate tuongee
Ningojee
Na usikate tuongee
Oooooh uuuuuuhh
Uuuuh usinune mchumbaa
Oooooh uuuuuuhh
Uuuuh usinune mchumbaa
Bae you know you be waiting for so long
Remember i’ve been working for too long
Au nipite mwendo kasi
Ila sijapata nafasi
Mara kumi polisi wanichasi
Ila nikutulize nafsi my baby
Au nipande boda na hivi nilivyo
Kibonge ongeza vocha
Mama mtu tubongee
Nimebanabana ili nijee nikuhonge
Am coming home
Baby usikae kinyonge
Ningojee
Na usikate tuongee
Ningojee
Na usikate tuongee
Mamacita
Te quiero mucho senorita
Hivi unamjua kenny misendo unamjuaaa
Unamjua zaraboy unamjuaaa
Unamjua mzambele unamjuaaa
Unamjuaaa amigo unamjuaaa
Unamjuaaa chopa chaupole unamjuaaa
Unamjuaaa seven unamjuaaa
Mudy mnyama yupe kwenye feleni
Hawezi pita hata pembeni
Nikifika mnyonge mnyongeni
Ila haki yangu uuh uuh
Tunda langu uuh uuh
We ndio kipenzi changu uuh uuh
Hi indo hali yangu uuh uuh
Bomboclaat
Mamacita
Konde music world wide
Watch Video
About Coming Home
More HARMONIZE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl