Huyu Demu Lyrics
Huyu Demu Lyrics by STEVE RNB
Niko ndani ya club
Niko na huyu demu anadatisha
Masela wanauliza nani anaitwa
Niko zangu VIP nimekausha
Jina Hanifa
Alivyo mzuri anadatisha
Masela wanauliza nani anaitwa
Lakini mimi nimekausha
Kuanzia juu mpaka chini
Huyu demu anasiri (Aah)
Hiyo siri naijua mimi
Ni wengi kawapiga chini
Ila sijui kwanini (Aah)
Ila yeye kanipenda mimi
(I told ya, lets go now)
Niko nae huyu demu
Popote alipo usimfuate
Niko nae huyu demu
Nakupa tahadhari bwana
Niko nae huyu demu
Popote alipo usimguse
Niko nae huyu demu
Nakupa tahadhari bwana
Shubidu shubidu
Shubidu shubidu(Kaa mbali nae)
Shubidu shubidu
Shubidu shubidu(Kaa mbali nae)
Shubidu shubidu
Shubidu shubidu(Kaa mbali nae)
Shubidu shubidu
Shubidu shubidu(Kaa mbali nae)
Wanashoboka masharobaro
Wanajipitisha
Wanajiuliza nini nampa
Mtoto mzuri nmemdatisha
Mimi nmekausha
Sina noma na mtoto hanifa
Si tunajirusha anavyokatika
Huyu mtoto ananidatisha
Kuanzia juu mpaka chini
Huyu demu anasiri (Aah)
Hiyo siri naijua mimi
Ila sijui kwanini (Aah)
Ila yeye kanipenda mimi
(I told ya, lets go now)
Niko nae huyu demu
Popote alipo usimfuate
Niko nae huyu demu
Nakupa tahadhari bwana
Niko nae huyu demu
Popote alipo usimguse
Niko nae huyu demu
Nakupa tahadhari bwana
Shubidu shubidu
Shubidu shubidu(Kaa mbali nae)
Shubidu shubidu
Shubidu shubidu(Kaa mbali nae)
Shubidu shubidu
Shubidu shubidu(Kaa mbali nae)
Shubidu shubidu
Shubidu shubidu(Kaa mbali nae)
Miaka kama nane
Baby honey niko nae
Kila day inakua mpya
Napenda kuonana nae
Ukisikia harusi
Jua naoana nae
Sio kicheche sio mapepe
Wacha watoto wazae
Chomoka out komesha masista duu
Ebu dharau we mwenyewe matawi ya juu
Ukiwa na mimi Mr Blue kila kitu juu
Hii nyimbo kwako boo sogea karibu
Wanasema tupendane wengine washaachana
Wakati tuko nyumbani tabia zinafanana
Kaa mbali nae ukiona amekatiza kwa kitaa
Usiende mbali usije ukavamiwa na vichaa
Kwanza atakataa, pili demu wa superstar
Mpaka home Tabata wanajua ananifaa
Subiri aje akifika naondoka nae
Pigeni muziki waziwazi nicheze nae
Haachani nami siachani nae
Anapendana nami napenda nae
Niko nae huyu demu
Popote alipo usimfuate
Niko nae huyu demu
Nakupa tahadhari bwana
Niko nae huyu demu
Popote alipo usimguse
Niko nae huyu demu
Nakupa tahadhari bwana
Shubidu shubidu
Shubidu shubidu(Kaa mbali nae)
Shubidu shubidu
Shubidu shubidu(Kaa mbali nae)
Shubidu shubidu
Shubidu shubidu(Kaa mbali nae)
Shubidu shubidu
Shubidu shubidu(Kaa mbali nae)
Watch Video
About Huyu Demu
More STEVE RNB Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl