Sikio la Kufa Lyrics

STEVE RNB Tanzanie | Afropop,

Sikio la Kufa Lyrics


Stress nyingi na mawazo
Lakini narudia bado
Kila siku mimi
Nani kaniroga mimi

Nishazama na mapenzi
Kutoka mi siwezi
Mapenzi ni matamu hivi
Na sijui nitatoka lini

Kila siku najutia
Kesho narudia
Dunia yangu ni yake

Ipo siku nitatulia
Nitazidi vumilia
Hakuna tena zaidi yake

Kila siku najutia
Kesho narudia
Dunia yangu ni yake

Ipo siku nitatulia
Nitazidi vumilia
Hakuna tena zaidi yake

Mapenzi, mapenzi, mapenzi, mapenzi
Nini umenitendea, nah nah nah nah
Mapenzi, mapenzi, mapenzi, mapenzi
Nini umenitendea, nah nah nah nah

Ukanipindisha pindisha ukaninyoosha
Ukanipa duania ikanifundisha
Kumbe mwenzio sikio la kufa
Nah nah nah nah nah

Wengi waliniambia achana naye
Mara huyu mara yule kuwa naye
Hawajui moyo umemjaa kwa keke
Sikio la kufa mimi

Yanaingia huku yanatoka kule
Haya mapenzi hayahitaji shule
Kufundishwa bado ni kazi bure
Sikio la kufa mimi

Kila siku najutia
Kesho narudia
Dunia yangu ni yake

Ipo siku nitatulia
Nitazidi vumilia
Hakuna tena zaidi yake

Kila siku najutia
Kesho narudia
Dunia yangu ni yake

Ipo siku nitatulia
Nitazidi vumilia
Hakuna tena zaidi yake

Mapenzi, mapenzi, mapenzi, mapenzi
Nini umenitendea, nah nah nah nah
Mapenzi, mapenzi, mapenzi, mapenzi
Nini umenitendea, nah nah nah nah

Ukanipindisha pindisha ukaninyoosha
Ukanipa duania ikanifundisha
Kumbe mwenzio sikio la kufa
Nah nah nah nah nah

Leave a Comment