Waoshe Lyrics
Waoshe Lyrics by WEUSI
Waoshe waoshe, hey waoshe
Waoshe waoshe, hey waoshe
Hilo zigo la kukalia dinga
Hilo uno la kukalia simba
Haina ugai gai
Mtoto mdogo mitoko miboko
Kesho unachuja kwa soko
Mwenzako sponsor ukaacha mkoko
Na kisha akapigwa mtoko
Waoshe waoshe, hey waoshe
Ndeki imemeza kanda huko
Kiuno kizagae gozi hicho
Sicheki na washamba mjini huko
Hata namba ikitoka inatozwa hio
Pandisha bei acha ufala
Nyumbani si unajua majalala
Nasubiri mhamala kwa wakala
Barabara ni ndogo usitanue
Wanapokezana jisanue
Wanaambiana kipatue
Wakiingia kichwa kichwa zipakue
Waoshe waoshe, wooh waoshe
Waoshe waoshe, wooh waoshe
Platnum ideas Joh sindano zinawaingia
Prime time right here, mfalme Joh ndo anawahutubia
Pricetag hazina siri ya mchezo kuwaibia
Gear namba moja, gear namba mbili
Gear namba tatu, kuingia ubia
Wakumbushe kwa vitendo, wabadili mienendo
Wakazilee familia waachane na hizo magendo
Waachane na vitu they can't handle
Mwisho wa siku ndo dance skendo
Chap chap hesabu mingi wanyuke kisomi
Matabtab ujanja mwingi walete sokoni
Kamata mazagazaga yalete jikoni
Mtoko kodi pango mjini ni kazi
Mtoto 4G spidi kali mjini maradhi
Waoshe waoshe, wooh waoshe
Waoshe waoshe, wooh waoshe
Tajiri au machinga, akijaa ni moto
Amekalia kijinga
We si wakupiga vizinga
Sura ya bei ghali mama ringa
Kipara chenyewe hakitoki
Waoshe waeke mtu kati
Waoshe wanaojiita mabosi
Mshahara mwenyewe hautoshi
Make sure unapassport
Dadangu mi nakupa password
Aweke mzigo wa landlord
Aache mzigo kwa monkey
Waoshe waoshe, wooh waoshe
Waoshe waoshe, wooh waoshe
Hilo zigo la kukalia dinga
Hilo uno la kukalia simba
Waoshe waoshe, wooh waoshe
Waoshe waoshe, wooh waoshe
Watch Video
About Waoshe
More WEUSI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl