Kiwembe Lyrics
Kiwembe Lyrics by JOH MAKINI
Wananiita Mr Mstaarabu
Ninachongoja misa na ni sababu
Nishawekeza hisa ya hii dhahabu
Ndoa ndo imani msingi wa dhawabu
Uadilifu hauhofii uajibikaji
Usiri ndo sera mama ya uekezaji
Usivujishe usivujishe
Maskani mingi hatarishi
I wish, natamani ushindani usitoke nnje
I wish, tukikujaga zamani hakuna ubishi
Jiko lipikalo maajabu enjoy mapishi
Tamaa udhaifu, mtaji ni uaminifu
Na nguzo hii huwa sipenyi mchwa wala siafu
Mechi za kirafiki nimestaafu
Hapa ndio kikomo cha usaili
Sihitaji mtu wa kati hii ni kati yetu sisi wawili
Leo nafanya usajili wa ligi ya maisha
Walisha niita kulipwa kimataifa
Nishapiga nyingi ridhaa sikuwa na manufaa
Leo timu yetu ni familia makini mama
Vile inafaa umezaliwa super mi niongezwe star
Uitwe 'superstar' ju ya vile ninakaa vizuri
Tuweke history, wataka this story
Mwambie mweusi ni pori, shore
Walishazushaga kuniita kiwe-kiwembe
Sasa wametuliza mawe-mawenge
Umbea kwa vituo bama, vya mwenge
Habari zipo kwetu mnara wa wenge
Walishazushaga kuniita kicheche
Sasa wametuliza mawenge
Umbea kwa kituo bamaa vya mwenge
Yelele lile
Sio kila kitu kwangu ila ni kitu changu kizuri
Mechi ni kali naikaba mpaka kivuli
Sitaki fanya bahati wala siiti ngekewa
Ulipo nilipo ndipo tulipotakiwa kuwa
Mama utakula vingi Musa alivyobarikiwa
Ndani ya moyo wako binti nagonga murwa
Moto na moto yangu nikupe mapenzi moto moto
Amka usiendelee kulala njoo utimize ndoto
Murani wa kweli hivi hapa ningetoka tama
Mapito river kempo maskani ya kudumu
Leo Makini Jo si ukawahi hili gurudumu
Partner mzuri kwa hii biashara sitokudhulumu
Kula hata kama ni mbichi nyama kisha penda roho
Sikufichi maana utu uzima dawa
Uzoefu mwalimu mzuri na uzuri ni kwamba sijapagwa
Ni pendo tu, ni pendo tu kama Carola Kinasha
Gari umeniwasha binti we ni wa moto haswa
Ghetto men hapa kuwa gentlemen inapaswa
(Classic sound)
Walishazushaga kuniita kiwe-kiwembe
Sasa wametuliza mawe-mawenge
Umbea kwa vituo bama, vya mwenge
Habari zipo kwetu mnara wa wenge
Walishazushaga kuniita kicheche
Sasa wametuliza mawenge
Umbea kwa kituo bamaa vya mwenge
Yelele lile
Ninachomiliki hakinimiliki
Ila ninachomiliki haki ni miliki
Walishazushaga kuniita kiwe-kiwembe
Sasa wametuliza mawe-mawenge
Umbea kwa vituo bama, vya mwenge
Habari zipo kwetu mnara wa wenge
Made in Arusha, kabisa
Wananiita Mr Mstaarabu
Ninachongoja misa na ni sababu
Nishawekeza hisa ya hii dhahabu
Ndoa ndo imani msingi wa dhawabu
Walishazushaga kuniita kicheche
Sasa wametuliza mawenge
Umbea kwa kituo bamaa vya mwenge
Yelele lile
Walishazushaga kuniita kiwe-kiwembe
Sasa wametuliza mawe-mawenge
Umbea kwa vituo bama, vya mwenge
Habari zipo kwetu mnara wa wenge
Walishazushaga kuniita kicheche
Sasa wametuliza mawenge
Umbea kwa kituo bamaa vya mwenge
Yelele lile
Watch Video
About Kiwembe
More JOH MAKINI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl