I'm Offended Lyrics
I'm Offended Lyrics by SMALLZ LETHAL
Ah I'm offended man
Ah, put your mouth where yuor truth is
KRK kama kawa ah
Oh Ngwai me natumianga
Lakini Ongwae pia umetuangushanga
Tusiianzie mbali cheki Nyanchwa barabara
Aibu kubwa kwa watu wetu wa hapa
Connection ya Bosongo town mpaka Suneka
Na hiyo soko mmekula mpaka mikeka
Na hiyo hela ni 56 million
BBI sitting ati 18 million
Mketi kwenye uwanja mliopewa 90 million
Na kuijenga mkatumia 6 million
Hizi figures zina add up kweli?
Jua lisemwalo linakuanga na ukweli
Wananchi wakikuona wanakuona kwa telly
Yaani wewe kuwa Governor imekuwa ni kejeli
Makeja ndio umejaza tu Nairobi
Umeharibu na hizo tender za marodi
Mimi mkenya halisi I’m offended
Na mimi kama msanii I’m offended
And as a chairman of a club I’m offended
Mi - I'm offended
Mimi mkenya halisi I’m offended
Na mimi kama msanii I’m offended
And as a chairman of a club I’m offended
Mi - I'm offended
Mbona wananchi mnaabudu mheshimiwa?
Na mheshimiwa hakuna kazi anafanya
Anakula tu za county na mabibi mmeibiwa
Mmetii ni kama ni gun mmeshikiwa
Waziri wa michezo, waziri una mchezo
Waziri unatunzaje hizi talanta za kikesho
Waziri unasemaje hiyo hall ya wasanii
We umepeana makanisa hapo wanakesha na maleso
Mheshimiwa akili yako sio fresh
Tumengojea vitu Kama tournaments
Na huwezi fanya, concerts huwezi panga
Kisha uje kusema eti wasanii wanakutukana (Aje?)
HUmeshinda ukituambia tungoje, cheki saa
Nipe reason moja mbona nikuite sir
Wahenga walisema tukishikana tunaenda far
Lakini unaenda solo we unataka uende fast
Natumia voice yangu tu the best way I can
Kurepresent mayouth from maboys to mayeng
Na sasa ni miaka tatu tumesmile thru' the pain
We no longer at your service
Everything’s not the same
Shabana Glamour Boys tunakazana kurudi
We unachukua Nevaton mnaenda Kula mbuzi
Tusitumie stadium na hizo reason za kipuzi
Hiyo ni bullshit!
Wasanii ulizieni pesa ya Ruto
Ama mtabaki mkikula tu majuto (Mtashangaa)
Tunataka kuona pesa ama studio
Ati minister of the year haufai kuwa na tuzo
Mimi mkenya halisi I’m offended
Na mimi kama msanii I’m offended
And as a chairman of a club I’m offended
Mi - I'm offended
Mimi mkenya halisi I’m offended
Na mimi kama msanii I’m offended
And as a chairman of a club I’m offended
Mi - I'm offended
Put your mouth where yuor truth is
Najua siku moja labda sitakuwa
Lakini kutokee na wengine na wengine..
Watu wa kusema ukweli man, everytime
Kazi ifanyike bana serve the youth
Serve the people when you are given that POWER!
Watch Video
About I'm Offended
More SMALLZ LETHAL Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl