
Nimetii Lyrics
Nimetii Lyrics by KALI
Wacha niseme
Wacha niseme nimetii
Wacha niseme
Wacha niseme nimetii
Niseme
Niseeme nimeti
Nisemee
Ukweli nitasema
Ball ikiwa centre kila mtu wanataka kuihit
Watu wana hema ni cinema
Kila mtu anataka dive in
Nifanye nini nijipate ndani
Hujaenda chain chain mali safi
Nifanye nini nijipate ndani
Umeni tame
Hivyo ndivyo inafaa
Baby tunafaa
Aiming for the star
Baby you're a star
Hivyo ndivyo inafaa
Baby tunafaa
Aiming for the stars
Baby you're a star
Wacha niseme
Wacha niseme nimetii
Wacha niseme
Wacha niseme nimetii
Niseme, niseme nimetii
Niseme, niseme nimetii
Why you do me dirty
Leave my heart so lonely
Pick it up when you feel like
Drinking like you're thirsty
But I give you plenty
Seems you conquer and divide us
I'm tired of crying
And I cannot keep up in this fight
So come wipe my tears
And we'll make love till morning light
Hivyo ndivyo inafaa
Baby tunafaa
Aiming for the star
Baby you're my star
Wacha niseme
Wacha niseme nimetii
Wacha niseme
Wacha niseme nimetii
Niseme, niseme nimetii
Niseme, Niseme nimetii
Oooh...oooh...
Watch Video
About Nimetii
More KALI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl