Makasia Lyrics
Makasia Lyrics by JOH MAKINI
Hey hey hey hey
Piga makasia hakuna mtu wa kumpasia (piga makasia wewe)
Piga makasia hakuna mtu wa kumpasia (piga makasia yah)
Piga makasia hakuna mtu wa kumpasia (piga makasia wewe)
Piga makasia hakuna mtu wa kumpasia (piga makasia yah)
Eti ooh wakubwa hawasaidii madogo
Kumbukeni wakubwa walianzaga wadogo
Mara ooh, anabebwa na babaake mdogo
Na babaake mdogo turudi nyuma kidogo
Alianzaga pamoja na babaako mdogo
So ni kama pale kwenu focus ni ndogo
Face matatizo yako usiyape kisogo
Yaingilie kimbogo, fikiria kifogo
Maumivu kidogo yana malipo kidogo
Acha kuita watu mabishoo bwana mdogo
Wakati hauwezi kuwa bishoo hata kidogo
Waliokata kuni ndio wanamiliki vigogo
Piga makasia hakuna mtu wa kumpasia (piga makasia wewe)
Piga makasia hakuna mtu wa kumpasia (piga makasia yah)
Piga makasia hakuna mtu wa kumpasia (piga makasia wewe)
Piga makasia hakuna mtu wa kumpasia (piga makasia yah)
Acha kutia huruma tia bidii
Acha kuleta lawana sio cv
Chuki dhidi ya waliofanikwia haisaidii
Sioni vipi utabarikiwa kama hujisaidii
Hata bebe club zitakufanya we plan b
Juu pale kaunta msee usungushi maraud
Ukishashtuka walisepa watoto
Wana hawashiki simu kama za moto
Dawa ya moto sin i kweli ni moto
Lea watoto si ulipeleka moto
Wewe, shida hazina mwenyewe
Uelewe maskini tajiri usilewe
Ukadhani za mwenzako ni ndogo kushinda zako wewe
Mtumbwi ukizama utazama wewe
Wewe (piga makasia)
Wewe (piga makasia)
Piga makasia hakuna mtu wa kumpasia (piga makasia wewe)
Piga makasia hakuna mtu wa kumpasia (piga makasia yah)
Piga makasia hakuna mtu wa kumpasia (piga makasia wewe)
Piga makasia hakuna mtu wa kumpasia (piga makasia yah)
piga makasia wewe
piga makasia yah
piga makasia yah
Watch Video
About Makasia
More JOH MAKINI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl