Dangerous Lyrics by JOH MAKINI


(Nahreel on the beat)

She a dangerous, ooh yeah
Mama ni kitu kali
Ah say, she a dangerous, ooh yeah
Amani ni kitu gani?

She a dangerous, ooh yeah
Mama ni kitu kali
Ah say, she a dangerous, ooh yeah
Amani ni kitu gani?

Mtoto yu hatari miondoko
Hana mpinzani kama ni soko
Kimataifa mpaka local
Mtoto ni chuma chumbani moto

Mtoto we chuma shamba ni lako
Mkulima mimi changu ni chako
Ushanisoma hii miondoko
Jijini homa juu yako

Kwetu lini utakwenda
Vipo vingi utapenda
Ah utoto ni tu wahenga
Matendo wala si kuchonga ngenga

Kwetu lini utakwenda
Vipo vingi utapenda
Ah utoto ni tu wahenga
Matendo wala si kuchonga ngenga

She a dangerous, ooh yeah
Mama ni kitu kali
Ah say, she a dangerous, ooh yeah
Amani ni kitu gani?

She a dangerous, ooh yeah
Mama ni kitu kali
Ah say, she a dangerous, ooh yeah
Amani ni kitu gani?

Anazifungua zipu kwa mdomo
Shati down hii sio normal
Toto la michezo mingi sio formal
Shut them down hii sio normal

Nakuona kuchacha nje nje (Nje)
Na sijali kuchacha tupa nje (Nje)
Makadi kuchanja easy easy (Easy)
Makali kuchanja ile ile (Ile)

Anazifungua zipu kwa mdomo
Shati down hii sio normal
Toto la michezo mingi sio formal
Shut them down hii sio normal

Ni kujifunga mabomb kujilipua
Ni kama mning'inio kulizimua
Wanamezaga machungu mi najua
She murder everything moving

Anaua kila kinachotembea
(Mafisi wako lindoni)

Kumwona tu ni uteja wanabembea (Eaayaa!)
Mapicha picha watu wanashare (Ongea)
Hatari habari zinatembea (Umbea)
Kishingo upande nazipokea (Eaayaa!)
Na hapo ndipo nilipotokea (Eaayaa!)
She murder everything moving

She a dangerous, ooh yeah
Mama ni kitu kali
Ah say, she a dangerous, ooh yeah
Amani ni kitu gani?

She a dangerous, ooh yeah
Mama ni kitu kali
Ah say, she a dangerous, ooh yeah
Amani ni kitu gani? I say

Pendo love! 

Nipe pendo nikupende love
Nipe nipe nipe nipe pendo love
Nipe pendo nikupende love
Nipe nipe nipe nipe pendo love

Nipe pendo nikupende love
Nipe nipe nipe nipe pendo love
Nipe pendo nikupende love
Nipe nipe nipe nipe 

She a dangerous, ooh yeah
Mama ni kitu kali
Ah say, she a dangerous, ooh yeah
Amani ni kitu gani?

She a dangerous, ooh yeah
Mama ni kitu kali
Ah say, she a dangerous, ooh yeah
Amani ni kitu gani? I say

She a dangerous!
Dangerous!

Watch Video

About Dangerous

Album : Dangerous (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Jul 18 , 2020

More JOH MAKINI Lyrics

JOH MAKINI
JOH MAKINI
JOH MAKINI
JOH MAKINI

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl