DARASSA Usiniletee Shida  cover image

Usiniletee Shida Lyrics

Usiniletee Shida Lyrics by DARASSA


Unasema uko miti
Nakuona unapost Instagram uko beach
Unasema uko home you sick
Nakuona kwenye picha uko dinner na marafiki

Sometimes najiona ka iko wiki
Ukisema unanipenda naona kama unanisnitch
Kuna muda nachekwa na marafiki
Sema ndo vile tu najitetea nachoma bet

Eh oh ana ana doh
Maana unanitreat ringo za kimarginal
Oooh no dagaa naomba po
Maana unanichezesha sana it sound so

Eh oh ana ana doh
Maana unanitreat ringo za  kimarginal
Kama juzi nimekuja knock on a knock
Hutaki kufungua uko ndani and I know

Usiniletee shida
Aah mi huwa sipendi shida
Sawa niko na mapenzi nawewe
Lakini usiniletee shida

Usiniletee shida
Aah mi huwa sipendi shida
Sawa niko na mapenzi nawewe
Lakini usiniletee shida

So now I am the one to blame here
After everything you done
And what I've been through
Aah yes sometimes I feel the same dear
Na nafeel shame pia lakini nasmile tu

Usitake kuniharibia na moods saa hizi
Kuleta leta kesi hata bila ushahisi
You tell me that I lie, look me in the eye
If I'm not the one who keep this thing alive

My baby is drive me insane
My baby anapenda complain
My baby ana vitu vingi vingi anafanya
Lakini mimi nanyamaza sisemi

My baby is drive me insane
My baby anapenda complain
My baby ana vitu vingi vingi anafanya
Lakini mimi nanyamaza sisemi

Usiniletee shida
Aah mi huwa sipendi shida
Sawa niko na mapenzi nawewe
Lakini usiniletee shida

Usiniletee shida
Aah mi huwa sipendi shida
Sawa niko na mapenzi nawewe
Lakini usiniletee shida

(Classic Music)

Usiniletee shida
Aah mi huwa sipendi shida
Sawa niko na mapenzi nawewe
Lakini usiniletee shida

Usiniletee shida
Aah mi huwa sipendi shida
Sawa niko na mapenzi nawewe
Lakini usiniletee shida

Watch Video

About Usiniletee Shida

Album : Slave Become a King (Album)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020 CMG
Added By : Huntyr Kelx
Published : Dec 24 , 2020

More lyrics from Slave Becomes A King album

More DARASSA Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl