DARASSA Hater cover image

Hater Lyrics

Hater Lyrics by DARASSA


Hawajali marefu tumekimbiza
Wanajenga maumivu kutuumiza
Kutuombea shida za kutumaliza
Watuzimie mwanga tukae kiza

Ooh hawa watu sijui wana nini ndani
Hawa watu sijui anawalipa nani?
Angalia huko njiani kampani
Watu na viatu vinatembea mtaani

Habari zao chuki chuki
Rafiki yao chuki chuki
Adui wa maendeleo ni chuki
Tunaishi nao maisha yenyewe mafupi

Habari zao chuki chuki
Rafiki yao chuki chuki
Adui wa maendeleo ni chuki
Tunaishi nao maisha yenyewe mafupi

Ukiona mtu anakunja kunja hater
Anajenga love anavunja, hater
Kalewa mwingine anayumba yumba, we ni hater
Hakuna maisha bila ya hater

Mwingine anakufollow akuchoree, hater
Mwingine anakuchukia bure, hater
Anataka ubakie vilevile, jua ni hater
Hakuna maisha bila ya haters

Wenye chuki hawataki tunapumua
Wanashika mashati refa kashawajua
Wanakaba penati bado tunatusua
Wanatuua Baba God anatufufua

Mi naishi maisha yangu hata habari sinaga
Na love ndani yangu hizo chuki sinaga
Kupanda panda watu kichwani kama jukwaa
Kujua wanachovaa, wanavyokula na kukaa

Maneno upepo yanapita
Changamoto ni shule ya maisha
Mjinga kufanya ujinga sifa
Mzushi hakosi majungu ya kuvika

Habari zao chuki chuki
Rafiki yao chuki chuki
Adui wa maendeleo ni chuki
Tunaishi nao maisha yenyewe mafupi

Habari zao chuki chuki
Rafiki yao chuki chuki
Adui wa maendeleo ni chuki
Tunaishi nao maisha yenyewe mafupi

Ukiona mtu anakunja kunja hater
Anajenga love anavunja, hater
Kalewa mwingine anayumba yumba, we ni hater
Hakuna maisha bila ya hater

Mwingine anakufollow akuchoree, hater
Mwingine anakuchukia bure, hater
Anataka ubakie vilevile, jua ni hater
Hakuna maisha bila ya haters

Hakuna maisha bila ya hater
Hakuna maisha bila ya hater

Kama unaleta za kuleta hater
Kama unajijua hater sepa
Tunatupa kama toilet paper
Kwenye viwanja vyetu hatuchezi na mahater

Kama unaleta za kuleta hater
Kama unajijua hater sepa
Tunatupa kama toilet paper
Kwenye viwanja vyetu hatuchezi na mahater

Watch Video

About Hater

Album : Slave Become a King (Album)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020 CMG
Added By : Huntyr Kelx
Published : Dec 24 , 2020

More lyrics from Slave Becomes A King album

More DARASSA Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl