Mind your Business Lyrics
Mind your Business Lyrics by DARASSA
Ukiwin dares salama kuishi bi cv
Fish anakula, fish life of the sea
You gotta look for the key, nothing is free
Iiji halijakaa kaa ki mapenzi Mr Tee
Nilipotea sinza mitaa ya ndani ndani
Mikaomba wasamalia wama nipate ramani
Aunt aunt samahani
Aah mi ni mgeni nilikua naulizia hii njia inaenda kanisani
Si ndo nakutana na shabani namjua
Namsalimia shebby ? anauchubua
Shebby ? anasuasua
Au i’m not sure
Kumbe huku anakwenda kama pastor Joshua
Ukiangalia bodi ya gari ngangari
Kumbo jitu kubwa mwili jumba kirakshari
Unaambiwa hakuna kuparty mpake ugonge mchumali
Nakuna habari kama watu wana ponda mali
Mind your business, mi sina noma na we
Mind your business, as longer you don’t get in my way
Mind your business, mi sina noma na we
Mind your business, as longer you don’t get in my way
Eyes on prize
Eyes on prize
Ladies and gentleman sasa tuko wazi
Eyes on prize
Eyes on prize
Tajiri kapagawa bei tume mwaga radhi
Kujiongelesha upuuzi
Mashauzi makuzi makuzi
Kelele nyingi fuio miluuzi
Mbana that is not big news
Kesho kuna dalili kinakuja kimbunga
Fungia watoto ndani kwa nyumba
Wana sayansi maji yamezidi unga
Kula kula tuu ujinga utakunya pumba
You wanna yo avoid problem
It’s very simple, mind your business
And what you want trouble you people
Mind your business
Mind your business, mi sina noma na we
Mind your business, as longer you don’t get in my way
Mind your business, mi sina noma na we
Mind your business, as longer you don’t get in my way
Eyes on prize
Eyes on prize
Ladies and gentleman sasa tuko wazi
Eyes on prize
Eyes on prize
Tajiri kapagawa bei tume mwaga radhi
Mind your business, as longer you don’t get in my way
Mind your business, as longer you don’t get in my way
Watch Video
About Mind your Business
More DARASSA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl