Mazoea Lyrics
...
Mazoea Lyrics by DARASSA
Jana nilikuwa tips eeh
Kulimwagika pisi
Maradhi pekee ndio yangefichwa
Uzuri wako umenijaa kwa kichwa
Nikazikumbuka hips eeh
Unavyong’atang’ata lips eeh
I know that you miss me
Why you don’t come and kiss me my baby
Umetawala nchi kavu umetanda angani
Unanipa mithani
Ntatokea njia gani
Uko nyumbani, uko mtaani
Uko kazini uko maskani
Huko viwanjani
Uko moyoni umejaa jaa ndani
Matukio yana rewind rewind kichwani
You’re one of the kind
Umeshinza upinzani
Pozi zako daah
Ile sura ya furahaa
You’re my friend
You’re my lover
You’re my superstar
Nimeshindwa, nimeshindwa dwa kulala last night
Nakiangalia kitande we use to play pillow night
Come back to me i’m not doing alright
Nikona mtu mzima anatia ujue vitu ziko tight
Hata iwe mapenzi yamekwisha
Kumbuka kuna mazoea
Eeh eeh eeh baby uuuhhh (mazoea)
Hata kama mapenzi yanakwisha
Yanabaki mazoea
Eeh eeh eeh baby uuuhhh (mazoea)
Nakunywa pombe nilewe
Sababu ni wewe
Silewi zinanipalia
Oooohhhh uuuhhh
Umenipatia
Oooohhhh uuuhhh
Unanijulia
Najipa imani it’s okay
My heart is broken
Naogelea matope
Wacha nijikokote
Wacha nijikiote
It’s okay, it’s okay
Na sitofika popote
Siunajua alosto i’m in so pain
Your love inanipa addiction kama cocain
Naona kabisa umesha nidemage my brain
So high captain jump off the plane
Nimeshindwa dwa kulala last night
Nakiangalia kitande we use to play pillow night
Come back to me i’m not doing alright
Nikona mtu mzima anatia ujue vitu ziko tight
Hata iwe mapenzi yamekwisha
Kumbuka kuna mazoea
Eeh eeh eeh baby uuuhhh (mazoea)
Hata kama mapenzi yanakwisha
Yanabaki mazoea
Eeh eeh eeh baby uuuhhh (mazoea)
Watch Video
About Mazoea
More DARASSA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl