Simba Boss It Lyrics
Simba Boss It Lyrics by DARASSA
Kujiliza kinyau nyau
Simba mla nyama mifupa ya fisi
Kwa hicho kitimu cha kufunga kijiji
Boss kutamba kwa wazee wa jiji
Vuum vuum honda kumbe sio honda
Kibata vuzi tena kimeo
Na kama sio simba basi huo ujinga
Ushindi utauona kwenye video
Simba ukipima nakupa majibu
Kama umevimba tunatoboa majipu
Ukija moto ukaondoka majivu
Huenda ukaungane na wenzako wenye wivu
Simba, kwani shingapi
Bwanae, nipe jezi nipe ticket
Simba you wanna know what happened
Simba ubishoo bishoo hatutaki
Simbaa, simba, simbaaa, simba
Simbaa, simba, simbaaa, simba
Watu wanakwenda wanakwenda pass pass
Mnyama simba na mpira chenga kati
Nashangaa hee, imekuwa stranger bas
Don't play boy this is dangerous
Simba sports club, chama la wamba
Ukituwekea funk anakuchezea Samba
So wazee wa genga genga udananda
Kujipamba pamba alafu hakuna kadanda
Na kila akiingia kwenye anga
Piga mashuti makali ukatunge shanga
Alafu nipigie uniletee ushamba
Nakufunga wewe na aliyekupa namba
Simbaa, simba, simbaaa, simba
Simbaa, simba, simbaaa, simba
Boss it
Oya champion simba now, simbaaa, simba
Boss it, simbaaa, simba
Champion, now take pic pause
Watu simba hio, iiioooowaaaah
Vida kati walete, iiioooowaaaah
Watu simba hio, iiioooowaaaah
Bwana nani atawaweka, iiioooowaaaah
Big boss Mo Dewji, iiioooowaaaah
Sisi ndo wazee wa kazi
Ukikaa mbele tunakupanda ngazi
Lete mpira maneno huwa hushangazi
Na hatutaki ushabiki mandazi
Watch Video
About Simba Boss It
More DARASSA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl