Nazama Lyrics
Nazama Lyrics by KISAMAKI
Kwa kwanza paja mzigo
Nikishafunikwa chali sijiwezi
Nikiguza nido
Beki zake hazikabi
Nalegea, ukinigusa Dodoma
Na sio fair ukiniweka sodoma mama
Nahofia, eeh Mungu sitamuona eeh
Chonde chonde usije nibwaga
Nikaja maliza vichelema
My darling
Ya kongo umenishaweka himaya
Mimi kwako ndege
Nishanyonyoka mbawa
Moyo wangu mwenzako wadunda kutw
Wewe mama
Mimi kwako siwezagi furukuta
My love
Maji ya shingo(Nazama)
Maji ya shingo(Nazama)
Maji ya shingo(Nazama)
Maji ya shingo(Nazama)
Baby mwenzako na kiraru raru
Sichelewagi kununa eeh
Nitalewa kama ngaru ngaru
Ukija niacha kama Fatuma
Za nini fujo kama faru faru
We nizamishe kwenye kina
Ushaniteka mista faru faru
Wewe usiyejulikana eeh
Mi napenda unavyokatika
Na zile binu binuka
Wanikosha ile mbaya ah-ah
Umeniroga mama eeh sawaaa
Show zetu acapella
Wapinzani wanaisoma namba
Huo mzigo kwa dera eeh
Mjeshi nasahau kutinga gwanda eeh
Moyo wangu mwenzako wadunda kutwa
Wewe mama
Mimi kwako siwezagi furukuta
My love
Maji ya shingo(Nazama)
Maji ya shingo(Nazama)
Maji ya shingo(Nazama)
Maji ya shingo(Nazama)
Maji ya shingo(Nazama)
Maji ya shingo(Nazama)
Maji ya shingo(Nazama)
Maji ya shingo(Nazama)
Watch Video
About Nazama
More KISAMAKI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl