I Surrender Lyrics

ANGEL BENARD Tanzanie | Gospel,

I Surrender Lyrics


[VERSE 1]
Sikupi mipaka tena
Chukua nafasi Bwana
Miliki kila chumba ndani yangu
Sikupi mipaka tena hmmhmm
Panga na pangua
Yape yote sura yako
Acha nifurike Wewe
Wewe tu uuuh
Panga na pangua
Yape yote sura yako
Si wesi bila Wewe

[CHORUS]
I surrender
I surrender
Sikupi, Mipaka tena

I surrender
Uuuhhh..... hmmmm...

[VERSE 2]
Umenijua toka kale
Kabla ya kuumbwa kwangu
Nitawezaje bila wewe
Uuuuhhh..
Hatua zangu bila wewe
Ni bure na nitaishia
Uharibifuni
Ninakuhitaji eeeeh

[CHORUS]
I surrender (I surrender)
I surrender (I give it all to you)
Sikupi, Mipaka tena

I surrender
I surrender
Sikupi (Sikupi mipaka tena)
Mipaka tena

I surrender, I surrender, Mipaka

 

Leave a Comment