WCB Wasafi artist Zuchu teams up with WCB CEO  Diamond Platnumz to release their second...

Cheche Lyrics by ZUCHU


Iii...arira rarira
Rarari rarari
Iyaa, iyaa iyaa eey
Tiaria, rari rari eey

(Mocco)

Te amor Te amor
Le te quero, quero
Yaliyomo yamo
Hujazoa penzi kwa beru

Mwenzako migulo chengele
Wanalia ugoya wa nje bwerere
Sema upendacho utakula jegele
Kinyama kulumagia kam nkuchumie tembele

Na bila huruma unanijuza
Kwamba unayabaruza
Mi mtoto unanikuza
Wee aah

Unanichezesha kwaito
Kwa koro waito
You dey give me banana
Your love is stamana

Unachezesha kwaito
Kwa koro waito
My baby twachezeshana

Che! Che! cheche rumba che! che!
Hey tunashikana shikana
Che! Che! cheche rumba che! che!
Tunachezeshana 

Che che che rhumba che
Che! Che! cheche rumba che! che!
Zinatoka che che tukigusana gusana
Che! Che! cheche rumba che! che!

[Diamond Platnumz]
Eeeh unapendaga chocolate (Enhe)
Mavanilla nilla (Enhe)
Tam tam sweety ety (Enhe)
Nikichenga ka roja Mila (Enhe)

Brrr Okey! 
Penzi koleza uje wa Dubai
Huba lipambe moto 
Kama mafuta kwa karai

Okey na ulivyo katoto lito to!
Leo mpaka kokoriko ko!
Ghetto ni kulamba mwiko ko!
Sakafu hadi kwata niko ko!

Korikoko mama utaniua, nikomeshe!
Ya leo kiboko, nikomeshe!
Imezidi utamu, nikomeshe!
She! She! She! Komeshe!

Asa kukuacha wewe (Nitawezaja?)
Niende kwa mwengine (Nitawezaja?)
Ujeuri sina 
Jinsi twachezeshana

Che! Che! cheche rumba che! che!
Hey tunashikana shikana
Che! Che! cheche rumba che! che!
Tunachezeshana 

Che che che rhumba che
Che! Che! cheche rumba che! che!
Zinatoka che che tukigusana gusana
Che! Che! cheche rumba che! che!

Na kakara zako kinkiri
Kinkiri kanka! 
Kinkiri kankara kinkiri
Zanimalizaga

Eeh na kakara zako kinkiri
Kinkiri kanka! 
Venye unavyo kinkiri
Kinkiri kan kinki
Kinkiri kanka
Ki! Ka! kirinkaka!

Unanichezesha kwaito
Kwa koro waito
You dey give me banana
Your love is stamana

Unachezesha kwaito
Kwa koro waito
My baby twachezeshana

(Kwa Mix Lizer)

Watch Video

About Cheche

Album : Cheche (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Sep 13 , 2020

More lyrics from Side 2 Side (EP) album

More ZUCHU Lyrics

ZUCHU
ZUCHU
ZUCHU
ZUCHU

Comments ( 2 )

.
Shadia 2021-04-26 17:05:04

I like the song zuchu you my star ✨

.
2022-06-19 02:15:36

Hello from Brazil! I am just in love by Swahili language and not long ago, I found these amazing singer (Such as Zuvhu). Thanks for building up this amazing site! I am using these songs for learning more about yur culture and language!



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl