
Mama Lyrics
...
Mama Lyrics by ZUCHU
He zuchu chu chu chu
Goguuu
Ayo lizer
Mhhhh
Rafiki yangu kwenye shida
Rafiki yangu kwenye raha
Niko nae kila mida, hajawahi nikataa
Yuko radni mi kushiba
Yeye ndo ashinde njaa
Sio mwengine ni mama
Labda nkupe picha
Uone nafasi yako manaa
Nikikukosa kwenye maishaa heeee
Kiukweli itanichanganya heeee
Mitihanii
Yake yangu mimi
Nikulipe nini
Kiasi gani sionii, oh mama
Mamaa
I love you mama
Mamaa
Nakupenda sana
Mamaa
I love you mama
Mama
Nakupenda sana mhhhh
Eh mola uliyejaa rehema natanguliza shukran (asante)
Bila hutu mama mwema ngekuwa mgeni wa nani (asante)
Mnaowanjia heshima nye mnaezaje kwani
Mimi wangu akinuna moyo unakosa amani
Mitihanii
Yake yangu mimii
Nikulipe ninii
Kiasi gani sionii, oh mama
Mama
I love you mama
Mama
Nakupenda sana
Mamaa
I love you mama
Mamaa
Nakupenda sana
Hey mamangu njoo tucheze kandili
Kandili kati kati kati kati kati
Mamangu cheza kandili
Watch Video
About Mama
More ZUCHU Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl