
Cherie Lyrics
...
Cherie Lyrics by ZUCHU
Mwenzako najiuliza
Hivi umeumbwa muda gani
Uzuri wako umeupata turkey
Au kwa mama nyumbani
Nataka nikupe visa CV
Uwe wangu rubani
Mana kwako sifurukuti
Sina ujanja yani
Ah aah
Silali nikasinzia, kutwa uko kichwani darling
Moyo ungekuwa nguo ningekupa uvae
Ama Mungu angenijalia ningekuwa tajiri madolali
Basi ningekupa rupia maishani ikufae
Kutwa nikijipitisha kwa mitandao kukufungua
Yani unawakomesha
Insta, titok unawasumbua
Siishi kujicomentisha
Haki ya Mungu unanizuzua
Vifilta unavyo jiwekaga, kujiedit na vimauwa
Nnavyokupenda eeeeh, mwenyewe najishangaa
Nnavyokupenda eeeh, mwenyewe najishangaa
Aah, navyokupenda, mwenzako najishangaa
Nnavyokupenda, mwenzako najishangaa
Sijui nikuite nani (cherie ama baby)
Nikuite nani Lazizi (cherie ama baby)
Nyonda wa huba (cherie ama baby)
Eti nikuite nani (cherie ama baby)
Cherie na ngai eh
Sikia hii aaaah
Sona baby sona
Niongee kwa kilugha gani unielewe
Mwenzako nkikuona
Moyo unacheza buga unacheza msewe
Aaaii umenipa penzi mvinyo
Nami nimelewa tikitiki
Aiii ukinishika chamwino
Aii kelele mpaka kibiti
Kibiti Aii wewe
Majii jamani maji (Yanaufuata mkondo)
Speed yake ya boda sio ya kibajaji (Na tumii mgongo)
Majii jamani maji (Yanaufuata mkondo)
Mwendo wake ya boda sio ya kibajaji (Na tumii mgongo)
Navyokupenda eeh, mwenyewe najishangaa
Navyokupenda eeh, mwenyewe najishangaa
Aah, navyokupinza, wallahi najishangaa
Navyokupenda, mwenzako najishangaa
Eh asa nikuite nani (cherie ama baby)
Nyonga mkalia ini (cherie ama baby)
Cherie na ngai eeeh (Sherrie ama baby)
My sweety sweet chocolate (Sherrie ama baby)
Asa baby ringa Ringa, ringae
Ringa baby Ringa, ringae
Ringa baby Ringa, ringae
Na mgongo pindae Katika wakuone
Ringa, ringa ringa baby
Ringa baby, ringa ringae
Na mgongo pindae kata wakuone
Watch Video
About Cherie
More ZUCHU Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl