Hachuji Lyrics
Hachuji Lyrics by LODY MUSIC
Lody music on this one
Mimi ni nani ati nikuache uende
Haiwezekani, haiwezekani no no no
Nahisi uliumbwa ili mradi nikupende
Na uniite hunny ayee na uniite hunny
Nasinzia nikiwaza unavyokjua nipumbaza
Mi najinenepea, mi najinenepea
Naita vikao na baraza
Nina hamu ya kukutangaza
Wewe ndo yangu pair, ah wewe ndo yangu pair
Mi kwake sisikii wewe
Aah mganga wake fundi
Yamenizidi wewe, ona
Ah sing'oki kisiki wewe
Ah mganga wake fundi
Yamenizidi wewe, ona
Ah sing'oki kisiki wewe
Ah mganga wake fundi
Yamenizidi mie, oya oya, oya
Anatakata si naona, hachuji hachuji
Ngozi inapakwa vi baby care
Hachuji hachuji
Ah anavyodamshi si mnaona, hachuji hachuji
Toto mijicho ilivyolegea, hachuji hachuji
Sa achuje vipi? oyee
Nachompenda hanaga kujisahau
Napendwa hajawahi nidharau
Minuno nikikosa angalau
Aniponza roho
Hananga methali za kanga na nahau
Najiuliza Mungu kamuumba how
Ana wara mithili ya dhabahu
Ananikosha roho
Ooh poleni mnajisumbua mnajitesa sana
Poleni, atawaumbua Mola awape laana
Hadi bafuni, tunadadavua na kusuguana
Poleni, tumewasanua kwamba twapendana
Mi kwake sisikii wewe
Aah mganga wake fundi
Yamenizidi wewe, ona
Ah sing'oki kisiki wewe
Ah mganga wake fundi
Yamenizidi wewe, ona
Ah sing'oki kisiki wewe
Ah mganga wake fundi
Yamenizidi mie, oya oya, oya
Anatakata si naona, hachuji hachuji
Ngozi inapakwa vi baby care
Hachuji hachuji
Ah anavyodamshi si mnaona, hachuji hachuji
Toto mijicho ilivyolegea, hachuji hachuji
Sa achuje vipi? oyee
Watch Video
About Hachuji
More LODY MUSIC Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl