Dear Ex Lyrics
Dear Ex Lyrics by LODY MUSIC
Nimekukumbuka sorry, leo nimeamua nikupigie
Na kuna makelele basi toka nje tuongee eeh
Hakika nimezunguka kote, na nimeamua kukurudia
Naomba nisamehe nmeona bora tuongee
Tangu nikuache mwenzako nafubaa
Napataga pisi ziliojawa tama
Naendekeza pombe me nalala na njaa
Rudi basi hata tuongee mamaa aammhhh
Mapenzi yanafanya nilieee, mwenzako nakomda vibaaaya
Nataka siku usikiee me nimekufa
We dear ex (ex)
Nmekukumbuka aaah
We dear ex (ex)
Naomba urudi tena
We dear ex (ex)
Aaah nisamehe eeeh
We dear ex (ex) aaaah aaaaahhhh
Skuizi bando linaisha
Mapema, naingia google kuperuzi ponoo
Nakosa vya kitanda kama vyako
Nilienae anapenda sinema, kila nikimkanya haelewi somoo
Kichawani ananipanda zaidi yako ooooohhh
Nikimuomba anipost siwezi postika
Na akinipost usoni anaweka stika
Mpaka nifoosi ndo aende kupika ooh noo aah aaaahhh
Mapenzi yanafanya nilieee, mwenzako nakomda vibaaaya
Nataka siku usikiee me nimekufa
We dear ex (ex)
Nmekukumbuka aaah
We dear ex (ex)
Naomba urudi tena
Dear ex (ex)
Aaah nisamehe eeeh
We dear ex (ex) aaaah aaaaahhhh
Watch Video
About Dear Ex
More LODY MUSIC Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl