
Tumalize Lyrics
...
Tumalize Lyrics by LODY MUSIC
Ina maana sikusikii tena
Inamaana sikuoni forever
Opweke umeshanizidi
Adhabu uliyonipa legeza
Inamaana hunipendi tena
Mi siwezi we mwenzangu kuweza
Naumivu yamezidi
Hadi nashindwa mate yangu kumeza
Mi siwezi kukupoteza
Naomba tuyamalize
Nashinda nikikumaza
Mizozo tuimalize
Tumalize, tofauti
Mimi na wewe, turudiane
Tumalize, tofauti
Mimi na wewe, turudiane
Mpaka nishatuma maua
Nikatuma barua cha ajabu uzisomi
Kumbe mi ndo mwenzako sijajua
Kama nakusumbua
Ina maana huzioni
Kwangu ulikuja hujamachua
Nikakukuza ukakua
Ila bado hauoni
Penzi lishafika mbaya hatua
Yani ile hatua
Ya dakika za jioni
Mi siwezi, kukupoteza
Naomba tuyamalize
Nashinda, nikikuwaza
Mizozo, tuimalize
Tumalize, tofauti
Mimi na wewe, turudiane
Tumalize, tofauti
Mimi na wewe, turudiane
Aaaaahh
Aaaaahh
Lody music on this one
Aaaaahh
Watch Video
About Tumalize
More LODY MUSIC Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl