Dua Lyrics
Dua Lyrics by DAYNA NYANGE
lalalalalalala...
Sio kama nalalama
Au nimekata tamaa
Unanijua vyema
Ila nahisi kuzama
Tumani langu ni kwako Rabana
Hii vita mi siwezi pigana
Dunia ni pana ila nahisi nabanwa
Nishike mkono Rabana
Sina bahati sibahatikii
Nachoshika ata hakishikiki
Wema wangu malipo yake chuki
Ila najua
tiba yangu dua
Najua utaisikia
Haya(haya)
Haya(haya)
Haya dua utaisikia
Haya(haya)
Haya(haya)
Haya dua utaisikia
Najiuliza sana
Zipi zangu kasoro
Nikitazama mbele
Naona giza totoro
Nimejishusha sana
Naiteka ni kitu kolo
Mimi ni nani
Kinishinde dhamani ata kiporo
Ila najua
Tiba yangu dua
Najua utaisikia
Haya(haya)
Haya(haya)
Haya dua utaisikia
Haya(haya)
Haya(haya)
Haya dua utaisikia
Dua, dua, dua ataisikia
Usichoke kufanya dua ataisikia
Dua, dua, dua ataisikia
Usichoke kufanya dua ataisikia
Watch Video
About Dua
More DAYNA NYANGE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl