Tutoke Lyrics

KAREN Tanzanie | Bongo Flava,

Tutoke Lyrics


Tunatupa shida, mikono kwa hewa
Nasubiri ile mida, nione nani amelewa
Fosi tutoke hata monday, monday
Tukeshe wote tupige monday, monday

Watajazana sana wee
Itakuwa noma nikiwa nawe
Fanya tujiandae
Leo natoka na wewe

Its time to party 
Tutoke! Tuenjoy tufurahi
We uko wapi? 
Tutoke! Tuenjoy tufurahi

Its time to party eeh 
Tutoke! Tuenjoy tufurahi
Twende tujivute
Tutoke! Tuenjoy tufurahi

Fanya pale pale 
Ujee tukutane
Wa zamani za kale 
Ujee tukutane

Nifanye nijikwatue
Hata marafiki niwashtue
Ukicheza na mimi
Hapo kaa tu kutano Garden

Watajazana sana wee
Itakuwa noma nikiwa nawe
Fanya tujiandae
Leo natoka na wewe

Its time to party 
Tutoke! Tuenjoy tufurahi
We uko wapi? 
Tutoke! Tuenjoy tufurahi

Its time to party eeh 
Tutoke! Tuenjoy tufurahi
Twende tujivute
Tutoke! Tuenjoy tufurahi

Uje, tukutane 
Uje, tukutane

KAREN (2 lyrics)

Karen is a recording artiste and singer from Tanzania.

Malkia Karen

Leave a Comment