Happy Birthday by KAREN Lyrics

Leo ni siku yako ya furaha
Twazidi kukuombea dua (Aah eeh)

Naona muda umewadia
Kata keki tule
Na maputo tushakupulizia
Na maua ua tukumwagie

Hongera, kwa kutimiza miaka kadhaa
Hatujaja tu kiholela
Na zawadi kede kede tumekuandalia
Hongera umetimiza, na sasa tunasema

Happy birthday, happy birthday
Happy birthday to you
Happy birthday, happy birthday
Happy birthday to you

Tumekusanyika na umati
Kwa pamoja, tuje kusherehekea
Tumekuandalla mpaka kamati
Ya maji kuja kukumwawgia

Hongera, kwa kutimiza miaka khadhaa
Hatujaja tu kiholela 
na zawadi kede kede tumekuandalia
Hongera umetimiza na sasa tunasema

Happy birthday, happy birthday
Happy birthday to you
Happy birthday, happy birthday
Happy birthday to you

Happy birthday, happy birthday
Happy birthday to you
(Happy birthday to you)

Music Video
About this Song
Album : Happy Birthday (Single),
Release Year : 2020
Added By: Farida
Published: Mar 19 , 2020
More Lyrics By KAREN
Comments ( 0 )
No Comment yet
Leave a comment