Kitoroli Lyrics
Kitoroli Lyrics by KAREN
Umeniburuza ka kitoroli
Kutwa kunipeleka puta
Ile sandaka lawe
Ukaniona mpori pori
Kukupenda ukavimba kichwa
Leo bora ninawe
Sikudhani siku moja
Kama nitakuja toa machozi
Kwa ajili yako na nilalame
Iyeee
Kukuganda ka ruba
Kuonyesha upendo hukujali
Kabisa maa ee, ooh maa eeh
Natembelea magongo (Aaah)
Mzima bado nachechema (Aah)
Ila kwa hali sio shwari
Nisije nikatoka chongo
Kwa mapenzi kung'ang'ana
Nikadhoofu hali
Nalia mwenyewe, mwenyewe
Japo nina ugonjwa moyoni sijui lini nitapona
Nalia mwenyewe, mwenyewe
Mgonjwa nakatisha dozi bora nitoweke duniani
Nalia mwenyewe, mwenyewe
Mgema kasifiwa pombe kaitia maji nanyotokwa
Nalia mwenyewe nitazoea hali yangu
Don't cry beiby, we unadhani itakuaje
Ukiondoka ukasepa na moyo wangu mfa maji
Don't cry beiby, we unadhani itakuaje
Ukiondoka ukasepa na moyo wangu mfa maji
Si unataka kunitosa
Na unajua mapenzi hayana kocha (Kweli nimekubali)
Najua umechoka
For the first time natambua makosa (Kweli nimekubali)
Mwisho wa wiki hazikuniisha safari
Vishawishi kasababisha dosari
Najikuta nagonganisha magari
Oooh mama ma
Hapo sasa umenishika sharubu
Tungi tungi nyumbani
Unafanya kusudi kunisulubu
Tumpe faida nani?
Mdomo juu juu unataka niwe bubu
Siwezi kukuchapa makofi utakuwa sugu
Kwanza mapenzi matamu kati ni msala
Unapopungua upendo na kugeuka bishara
Kosa pesa ulale kwenye kochi
Kodoa macho tochi
Nalia mwenyewe, mwenyewe
Japo nina ugonjwa moyoni sijui lini nitapona
Nalia mwenyewe, mwenyewe
Mgonjwa nakatisha dozi bora nitoweke duniani
Nalia mwenyewe, mwenyewe
Mgema kasifiwa pombe kaitia maji nanyotokwa
Nalia mwenyewe nitazoea hali yangu
Watch Video
About Kitoroli
More KAREN Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl