Mapendo Lyrics
Tanzanian artist Karen has released "Mapendo" released on 26th June 2020. Mapendo is a ...
Mapendo Lyrics by KAREN
Mapenzi mapenzi ni kiza
Washa taa tuone
Nyoyo zinavyong'ara ng'ara
Mupenzi mapenzi ni tiba
Nipe yaniponye
Kwa raha nala nalala
Nyoyo zinameremeta
Yaani twapendana sisi
Kulumana lumana
Kutandikana makissi
Twatekenyana twatambiana hadithi
Hubby wangu boriti
We zidi kukaza nati
Nina maa, mapendo
Mapendo, mapendo
Nina maa, mapendo
Mapendo, mapendo
Aaah, chini ya jua tuko mimi na wewe
Aaah, tunapendana sana
Aaah, chini ya jua tuko mimi na wewe
Aaah, tunapendana baba
Aaah...aaah, eeh eeeh
Mepenzi ya kupimiana sitaki
Kwenye kibaba si haki ooh
Nipe yote ulowekeza kweny mtima
Vinyama nyama sitaki
Vya mishikaki oooh
Halitoshi hata paja
We nipe tu mwili mzima
Unipepete pepete kama kiberenge
Unibemende bemende hata nisitembee eeh
Unipapase kongote rungu la madenge eeh
Nikupe mgongo upande na popote twendee
Nina maa, mapendo
Mapendo, mapendo
Nina maa, mapendo
Mapendo, mapendo
Aaah, chini ya jua tuko mimi na wewe
Aaah, tunapendana sana
Aaah, chini ya jua tuko mimi na wewe
Aaah, tunapendana baba
Watch Video
About Mapendo
More KAREN Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl